Chakra ya 6



CHAKRA YA SITA [AJNA]

MAHALI: Moja kwa moja nyuma ya Jicho la Tatu katikati ya ubongo Tafadhali bofya hapa kwa habari zaidi kuhusu Jicho la Tatu
KIPENGELE: *Ether
RANGI: *Indigo/bluu-urujuani
IDADI YA PETALI: 2
SAYARI: Mwezi
JISIA: Kike
SIKU: Jumatatu
CHUMA: Fedha
KAZI: Maono ya *psychic
HALI YA NDANI: *Intuition, mawasiliano *telepathic

Chakra ya sita inayojulikana kama Ajna katika *Sanskrit iko nyuma ya jicho la tatu. Jicho la tatu ni ugani wa chakra hii na inatawala maono ya kiakili. Chakra hii ni kiti cha akili cha nafsi. Wakati tezi ya ndani ya *pineal imeamilishwa, mara nyingi itawaka vizuri, ikijaa kichwa na mwanga mweupe, na kuleta hali ya furaha{bliss} kali pamoja nayo. Wakati *pineal imeamilishwa, inavimba na kuna hisia za shinikizo juu ya saizi ya zabibu. Chakra ya sita inatawala juu ya macho, maono ya mwili na ya *astral, na tezi ya *pineal. Ni urujuani-bluu/indigo katika rangi, kipengele chake ni *ether. Chuma chake ni fedha, na na sayari yake ni mwezi. Chakra hii ndio ambapo ida na pingala hukutana. Ina tezi ya pineal muhimu zaidi na ni kiti cha akili cha nafsi. Katika baadhi ya kazi, nishati huelekezwa juu ya mgongo hadi kwenye chakra ya sita na inatoka{projected out} kwa jicho la tatu, kama inavyoonekana katika maandishi mengi ya Misri.

 

© Copyright 2013, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457


RUDI KWENYE UKURASA WA CHAKRAS


RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU