Mwanzo wa msingi wa ngazi ya Kuelimika na Malkia Astarte, ni kutazama maajabu za Ulimwengu wa Asili.
Kwa kuwa sehemu ya ngazi hii ya uumbaji, sisi ni viumbe moja ile imetengwa ambavyo vinafungwa na upangaji ya dunia asili. Tunaishi katika sheria zake, kanuni zake, na juu ya yote, katika Hekima ya dunia.
Wanyama, vijiumbe, viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana, yote iko kwa Mtawala wa *Pentagram: Viumbe na uumbaji unaotokana na Vipengele Vitano vya Moto, Maji, Hewa, Ardhi, na Aetha.
Mwanadamu katika hali yake ya msingi, ni Ardhi, Maji, Hewa, na Moto pekeyake. Safari ya mwanadamu ni mrefu kwa kuamsha Kipengele chake cha tano, kile kinachomwinua kutoka kwa utaratibu mdogo ya Asaili hadi kwenye ulimwengu mkuu hadi kwa Ulimwengu wa Milele: *Aether Wake Mtakatifu.
Mwanafunzi aliuliza Astarte: “Mbona nisi abudu asili ndio nikupate, Lo Malaika Mkubwa ya Asili?”
*Lady Astarte akajibu: “Katika mahali{domain} huo, nimeficha siri zangu zote. Zichunge, na zitakuonyesha maana yake takatifu na ya milele. Nitafute Mafundisho Matakatifu, ndani ya maajabu ya Ulimwengu{Universe} Asilia.”
Kisha Mwanafunzi kwa mshangao mkubwa, akajibu kwa furaha kubwa na Zaburi:
“Kwa ziwa zote, Na mto,
Naskia sauti yako, Astarte!
Kwa mti yote na bundi yote, Na ona macho yako,
Kwa hisio zote ya mapenzi na furaha{pleasure}, Nina skia Jina yako,
Kwa kila mapenzi nimepitia, wewe ndio ulikwa hapo Kila Saa!
Mimi kwa uwote, nguvu za asili ndani yangu, zikusifu kwa Jina lako kuu!”
“Inanna ni Malkia wa Asili, Malkia wa Mbinguni,” zina niambia kwa upole,
“Milima, mito, wanyama zina tamani maaisha-
Nami nikajipata nimeshangaa; maana nilikuwa mtoto wa asili na mzuri kwa wanafunzi wangu,
Lakini mbele kuna hatima yangu ambayo haijagunduliwa, kukua pia mtoto wa mbinguni -
Lakini Lo!
Maana hata huko Mbinguni, Asili{Nature} inatawala na ina imba milele Jina wako Uungu Name, Inanna!”
© Copyright 2024, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457, CI-476909645 EU Copyright Number