Kutafuta maarifa ni ya kilamtu{is a given}; wenye busara ni wale wanaotaka kujua, na kufunzwa.
Aina ya nguvu, ujuzi unaweza kuingizwa ili kuunda hekima.
Maarifa yanaweza kutumika kuunda ujinga, au kila kitu katikati.
Swali ni, maarifa yanaelekezwa wapi?
Inatokea wapi?
Mtu anezajua zaidi, bora zaidi. Lakini laana ni maarifa ya ndani ambayo hutembea peke yake na kujisifu yenyewe: "Mimi ni mfalme wa wote", akijitangaza kama malkia wa malkia: Inasahau dada wanaomshikilia kwenye kiti chake cha enzi.
Kwasabau ujuzi ni ongezeko tu, kwamba bila dada zake wa Ukweli, Hekima, Ufahamu wa kumlinda, ataanguka katika mikono ya jeuri ya Ujinga, Upumbavu na *Pretense.
Ataanguka atatoka kiti cha enzi bila dada zake, atafufuka atakuwa katika kiti cha juu kabisa cha upendo na usawa na dada zake.
“Bwana Azazel,
Taa Apollonian,
Kupatiwa kwangu, kutokea Thoth,
Niletee Maarifa ya Kweli,
Wacha ibarikiwe, watcha ikwe mbali na mauwongo!”
© Copyright 2024, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457, CI-476909645 EU Copyright Number