YA KWANZA, CHAKRA YA MSINGI, "MULADHARA" KUMAANISHA, "MZIZI."
RANGI: Nyekundu
IDADI YA "PETALI": 4
SAYARI: Zohali
JINSIA: Kiume
SIKU: Jumamosi
CHUMA: Risasi{Lead}
KAZI: Kuishi{Survival}, msingi{grounding}
HALI YA NDANI: *Stability
MWENZA WA KIKE WA CHAKRA YA MSINGI NI
Chakra ya msingi/mizizi inayojulikana kwa Sanskrit kama "Muladhara" inadhibiti matumbo{bowels}, kibofu, koloni ya chini, miguu na tezi za *adrenal. Chakra hii ina rangi nyekundu. Kipengele chake ni ardhi, na chuma chake ni risasi{lead}. Inatawaliwa na sayari ya Zohali. Chakra hii inatoa *stability na msingi{grounding}, na inatawala juu ya kuishi{survival} na silika za kimsingi. Chakra ya msingi inatupa *will ya kuishi{survive}, na hisia ya usalama. Hasira{Anger and rage} hutoka kwa chakra hii, ndio kwamba wanaseme "kuona nyekundu." Chakras tatu za kwanza zina ushawishi mkubwa zaidi katika utendakazi wa uchawi, na kufanya mambo *projected na chakra za juu za kike kudhihirika katika uhalisia.
© Copyright 2013, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number:
12-16457
RUDI KWENYE UKURASA WA CHAKRAS
RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU