*Kutafakari huku kunahitaji 'kupumua' kwa nishati. Unapaswa kuwa na uzoefu na Kutafkari ya Msingi kabla kufanya hii tafkari.
Kwa bahati mbaya, "mwanga mweupe" hutumiwa kupita kiasi na watu wengi wa Wiccan na *New Age ambao hawajui wanachofanya. Watu hawa hutumia mwanga mweupe kwa *the exclusion ya rangi nyingine zote, na kwa sababu hiyo hawana uwezo{competent} wa kufanya kazi na rangi. Kwa sababu nyeupe ina rangi *zote* za *spectrum, zinachukua rangi hizi zote na zile ambazo hawawezi kuzidhibiti na zile hawawezi kuzifanyia kazi nayo, zinaachwa zenyewe bila mwelekeo. Kila rangi inawakilisha mzunguko fulani wa nishati ambayo wengi wetu hutumia katika maisha yetu ya kila siku. Ikiwa mtu hana uwezo wa kushughulikia kila rangi, mwanga mweupe mara nyingi hauwezi kutumika vizuri.
Nuru nyeupe ni rahisi kutosha kutumia na ni nzuri kwa watu wana aanza, lakini tatizo ni kwamba hutumiwa sana. Nuru nyeupe ni nzuri kwa kusafisha *aura ya mtu na kusawazisha nishati. Pia ni nzuri kwa ulinzi.
Nuru nyeupe, inapowekwa karibu na mtu, inakuwa kizuizi cha kuingiliana na wengine. Hii ni kwa sababu mwanga mweupe ina akisi{reflect}. Ikiwa unataka kuachwa peke yako, basi jifunge kwenye mwanga mweupe. Kujijaza na mwanga mweupe ndani huimarisha na kulinda bila kuwa kizuizi kwa wengine ikiwa unataka mwingiliano wa kijamii.
Utumiaji mwingi wa mwanga mweupe unaweza kuunda mtazamo wa kiburi{arrogant}, haswa mahali ambapo hali ya kiroho{spirituality} inahusika, pamoja na mawazo yaliyofungwa, na *closed mindedness. Hii inaonekana mara nyingi kwa wale wanaofanya uchawi wa malaika. Matokeo ya jumla ni yale ya kuwa katika kiwango cha chini cha maendeleo ya kiroho.
Wakati mtu ana uwezo{competent} na amejua rangi zote, anaweza kutumia mwanga mweupe kwa kiwango chake kamili.
Tafakari ya Rangi:
Anza kwa kuji starehesha na kufanya mazoezi ya kupumua au chochote unachofanya ili kuelekeza akili yako na kujituliza kabla ya kuingia katika hali yako ya *trance.
Vuta ndani na ujijaze na kila pumzi kwa rangi mahususi ya spectrum ukiona inakuwa angazu na angavu zaidi na kila wakati (sio nyepesi, kwa kung'aa, ninamaanisha ukali zaidi):
Nyekundu, bluu, njano, machungwa, violet, kijani, *indigo (bluu-*violet, rangi ya chakra ya 6) au nyeusi. Tafakari hii pia inaweza kufanywa baada ya kutafakari chakra maalum. Kisha unaweza kujijaza na rangi ya chakra hiyo.
Ikiwa wewe ni mpya kwa kutafakari kwa rangi, shikilia rangi kwa dakika mbili hadi nne. Ikiwa rangi inahisi kupendeza, unaweza kushikilia kwa muda mrefu. Wale ambao wamezoea nishati ya rangi wanaweza kushikilia muda mrefu zaidi. Wakati uikioongezeka wa mtu unapaswa kuwa starehe na kwa kuongeza polepole.
Kila rangi inapaswa kuwa katika fomu yake safi na mkali. Baadaye, ni sawa kujaribu vivuli tofauti wakati umekwa na ujuzi.
Ikiwa rangi inahisi hasi kwako, fanya kazi nayo hatua kwa hatua. Uliza akili yako jibu kwamba ni kwa nini. Rangi ina maana gani kwako? Je, una uhusiano gani na rangi fulani? Hii ni njia nzuri ya kujua zaidi kukuhusu. Ni rangi gani zinakupendeza? Hizi ndizo ambazo unaweza kuwa unazitumia zaidi katika maisha yako kwa kuwatenga wengine. Kujua hili kunatoa taarifa kuhusu chakras zipi zinahitaji kazi zaidi ili kuzileta kwenye mamlaka kamili.
Lengo muhimu zaidi la kutafakari huku ni *kuhisi* rangi. Tumia muda kwa kila rangi, ukizingatia jinsi inavyohisi. Weka rekodi iliyoandikwa kwenye kitabu chako cha vivuli/kitabu cheusi.
Pia, unaweza kutafakari rangi nje ya wewe mwenyewe ili kuhisi nishati yake. Si lazima daima kunyonya rangi, hasa ikiwa unahisi wasiwasi na rangi fulani. Kumbuka, ikiwa kitu kinajisikia vibaya au hasi, basi acha. Ukimaliza kutafakari, safisha *aura yako kwa mwanga mweupe kwani hii itachukua hatua kusawazisha rangi zote katika *aura yako.
Faida za kutafakari hii ni uwezo wa kujisikia, kuelekeza na kutumia rangi. Nishati ya rangi ina nguvu ya kipekee inapotumiwa katika uchawi. Kila rangi ina nguvu maalum na hutenda kuleta matokeo ya kipekee kwa nishati hiyo.
© Copyright 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457