Uchawi wa Moto inakuzwa kwa kuvuta na kuelekeza kipengele cha moto. Uchawi wa moto ni pamoja na:
Kujiamini, *fame, mafanikio katika kamari, furaha{pleasure}, kupata umaarufu/ *charisma, kuongeza afya na *vitality, uponyaji, ulinzi, mafanikio, nguvu za kichawi, ubunifu, *enthusiasim, nishati, stamina, mabadiliko makubwa, kubadilika, mvuto, mabadiliko ya ghafla, *stimulation, enthusiasim, ubunifu, nishati, kupata udhibiti, kubadilisha bahati na kuchochea haki. Kulipiza kisasi, hasira, tamaa safi ya ngono, na kuridhika kimwili, ujasiri, uamuzi, kukabiliana na maadui{dealing with enemies}. Kuchochea majali, moto, majeraha. Kujiamini{self-confidence}, riadha, nguvu, nishati ya kichawi ya Uchawi Nyeusi, *intesity. Huchochea tamaa, nishati, nguvu, nishati ya ngono, *dynamism, upendo mwenye shauku, tamaa ya kimwili, ujasiri, *will power, na riadha (hasa ushindani). Nzuri kwa kujiwezesha kabla ya kufanya kazi kwa uchawi nyeusi. Inapotumiwa katika uchawi mweusi, moto kinyume na ardhi hutumika kuleta mashambulizi ya ghafla, majali, umwagaji damu, vurugu na chuki. Moto unaweza pia kutumiwa kuchochea vita, *anarchy, na ukatili. Kuchochea kwa usahihi na kuelekeza kipengele cha moto kutaongeza joto katika chochote kinachoelekezwa.
Uchawi wa Maji ni uchawi wa ngono na uchawi wowote ambapo majimaji ya mwili hutumiwa. Uchawi wa ngono unaweza kutumika na vitu vingine pia, lakini hutawaliwa na kipengele cha maji. Uchawi wa maji unakuzwa kwa kutumia kipengele cha maji na ni pamoja na:
Uponyaji, upendo, kufanya mapenzi, (mapenzi; moto ni kwa ajili ya tamaa/ngono), uaminifu{fidelity}, upatanisho, urembo, ujana, urafiki, mvuto, maelewano{harmony}, kazi za kijamii, *indulgence, raha. Kutafakari, uwezo wa kiakili, *telepathy, kusoma akili, mawasiliano ya Roho{spiritual}, kunyonya maarifa kwa njia ya *telepathically. Nzuri kwa mwanzo na ukuaji. Nyumba na mazingira ya karibu, *imagination, kumbukumbu, ufahamu wa kiakili/ndoto, hali ya kiroho{spirituality}, kutafakari. Kwa uhusiano wa *psychic, kutafakari/*hypnotic, uzazi{fertility}, ndoa, na usawazisha{balance}. Kuchochea wivu, uchoyo, shuku, chuki{resentment}, magonjwa, maradhi, na mafarakano. Maji yanapoelekezwa kwa mwingine yanaweza kusababisha mtu kuwa na hisia kupita kiasi, kuwa na athari za jeuri, hasira{lash out}, na kuwa na wakati mgumu sana wa kuwa na lengo.
Ucahwi ya Ardhi inakuzwa kupitia *invoking na kuelekeza kipengele cha dunia na inajumuisha:
Pesa, uzazi, wingi, faida ya mali{material gain}, mali{wealth}, uponyaji, mawasiliano na roho{spirits} za asili, faida ya fedha, mapato kuongezeka, mali, utajiri, *indulgence, pleasure. Kipengele cha dunia kinatumika katika mila za kifo na kinaweza kutumika pamoja na nishati ya kifo, kutumika katika mila za kisheria, na kunyonya, kuficha, kwa udhibiti wa kibinafsi, uvumilivu, na subira.
Uchawi ya Hewa inapatiwa nguvu kwa *invoking kipengele cha hewa na inajumuisha:
*Intellect, kompyuta, mawasiliano, sauti, video, TV, vifaa vya elektroniki, vitabu, fasihi. Wosia. Kwa kufaulu mitihani, kuboresha akili, umakini, nguvu ya kiakili, uwezo wa kujifunza, hotuba, uandishi, uchapishaji, maswala ya media, uvumi, *slander, mahojiano, kaka, dada, majirani, uvumi, wizi, nyanja zote za masomo na mawasiliano, pia *astral projection, kushinda uraibu, kuvunja matabia. Nzuri kwa urafiki, *imagination, msukumo wa ubunifu, na *charisma. Hewa pia huchochea kuchanganyikiwa, fujo, kuwashwa, woga{nervousness}, uchovu wa neva, mabishano, na discord
Akasha/Quintessence/Ether
Etha hufanya kama kianzilishi na kutokana na uzoefu wangu mwenyewe, inaimarisha kazi, na inaweza kutumika kuunganisha.
RUDI KWENYE UKURASA KUU WA UCHAWI WA KISHETANI
© Copyright 2005, 2015, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457