Nishati *Meditation


Kutafakari huku ni bora kwa wanaoanza kwani husaidia kumpa mtu hisia za nishati. Kutafakari huku pia huimarisha *aura inapofanywa mara kwa mara.

1. Anza kwa kupumzika mwili wako wote. Kwa *trance zaidi, ni bora zaidi, lakini *meditation hii inaweza kufanywa wakati wowote na *trance sio lazima.

2. Pumua ndani na wakati huo huo, vuruta ndani nishati kutoka pande zote za mwili wako, mbele, nyuma, juu ya kichwa chako na chini ya miguu yako. Kwa wanaoanza, unapaswa ku *visualize mwanga mweupe, kama jua. Kufanya kazi na rangi ni ya juu zaidi na yenye ufanisi zaidi unapokuwa na uzoefu zaidi.

3. Pumua nje na *visualize hio nishati ikupanua *aura yako

4. Pumua ndani tena na uone nishati ikizidi kung'aa na kuwa na nguvu zaidi, *radiating kutoka kwa utu wako wote.

5. Pumua nje tena na *visualize nishati ikipanua *aura yako, na sehemu ya katikati ya mwili wako iking'aa kama jua.

6. Rudia hili mara kadhaa, kila wakati *visualizing nishati inazidi kung'aa na kung'aa kadri nguvu inavyoongezeka.

Unapofanya kazi na rangi, taswira rangi inakuwa na nguvu zaidi na yenye nguvu. Utaona kila rangi ina hisia tofauti nayo. Rangi inaweza kutumika kuvutia kulingana na asili yao.

Unaweza pia kupumua ndani nishati kutoka pande za mbele na nyuma za mwili wako wakati huo huo ili ikutane katikati, kisha fanya pande na juu na chini. Ukimaliza hii, acha aura yako ipanuke nje.

Kwa kutafakari huku, unaweza pia kufanya mazoezi ya kupanua na *contracting aura yako.

RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU ZA KISHETANI

 

© Copyright 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457