Thoughtforms Mbaya


Mfano unaojulikana zaidi wa *thoughtform ni nyumba "haunted". Ndio mahali ikuwe na nishati juu yake {about it}, tukio la kihisia sana lilifanyika, kwa kawaida kifo cha vurugu au mauaji. Hofu, hasira, na hisia za uharibifu zina nguvu sana na huacha nyuma *essence ambacho watu wengi (hata mtu wa kawaida) wanaweza kugundua. Hakuna nguvu kubwa zaidi kuliko ile iliyotolewa wakati wa kifo na ikiwa kifo kilikuwa cha jeuri, eneo lote linaweza kukwa na hio hisia kwa karne nyingi.

*Thoughtforms huunda nishati wingi{mass}. Wao ni matokeo ya hisia kali na mawazo. Uhai wao umedhamiriwa na ni kiasi gani cha nishati kinachowekwa ndani yao. Kuendelea kukaa{dwelling} juu ya kitu kwa muda fulani huipa mawazo/hisia nishati ambayo huchukua namna yake. Kila mtu ni tofauti kulingana na nguvu ya *aura yake na mawazo. Baadhi ya watu huzaliwa wakiwa na akili yenye nguvu kiasili na *aura kutokana na maisha ya awali. Watu wengi wana mawazo yaliyounganishwa na *aura yao. Matokeo ya ndoto za mchana, fantasia, hasira, chuki, matamanio na kadhalika, yanapozingatiwa mara kwa mara, hutengeneza fikra za kudumu. Mawazo yanaweza kuwa chanya au hasi. Kwa njia yoyote, wanaweza kuingilia kati michakato ya mawazo ya mtu.

Tunapotafakari, tunaongeza nishati zetu. *Thoughtforms tuliyo nayo, hulisha nishati hii. Kutafakari kwa nguvu ni aina ya mchakato wa kusafisha nyumba. Tunaweza kusikiliza na kuondoa haya, sawa na tunavyoweza kufanya na wengine ambao wamejishikamanisha na nafsi zetu. Kuondoa hizi kutaleta mawazo yaliyo wazi na amani ya akili. Ni mchakato wa uponyaji.

Jinsi ya Kutenga Watu/Huluki Zisizotakikana kutoka kwa Aura Yako

Rudi kwa Habari inayohusu Akili

 

© Copyright 2002, 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457