KUTAFUTA VITU MWENYEWE


Kwa Black Book, Shetani aliwaagiza wafuasi wake kukariri mafundisho aliyoamuru, kwa sababu mengi "yamebadilishwa." Hakuna ukweli unaobaki tena. Nimeona kama wengi wetu tunavyo katika uhusiano wangu na Baba Shetani, yeye ni tofauti kabisa na mafundisho yoyote yaliyoenea ambayo yangejaribu kutufanya tuamini.

Mashetani sio wabaya. Wengi wamebobea katika ufundishaji wa "maadili{ethics}." Viumbe wenye maadili sio wabaya. Kuna Mashetani wengi. Mashetani ni Miungu ya Asili, ambayo Shetani ndiye mwenye nguvu zaidi na muhimu zaidi, kwa kuwa yeye ndiye Mungu Muumba wetu. Shetani na Miungu Asilia walilaaniwa{cursed and condemned} kwa kuwapa wanadamu maarifa. Wageni wanaojifanya kuwa “Mungu” wa Kiyahudi/Kikristo walichukua mamlaka na kuwachochea wateule wao waue watu wengi na kuharibu mtu yeyote aliyeabudu Miungu ya Asili. Miji na watu wote waliangamizwa na mahekalu na vihekalu viliharibiwa, pamoja na rekodi zozote zilizobaki. Matokeo yake, tunajua kidogo sana ikiwa kuna ukweli wowote kuhusu Miungu ya Asili. Karibu kila kitu kilichoandikwa juu yao kinatoka kwa adui.

Nukuu hii kutoka kwa Encyclopedia ya Kikatoliki inafichua sana:
Vivyo hivyo Wagiriki na Warumi wanaweza kuwa waliabudu miungu yao, wakiamini kwa upendo kuwa ni nzuri. Lakini Maandiko ya Kikristo yanatangaza kwamba miungu yote ya Mataifa ni mademu.
Catholic Encyclopedia: Devil Worship
https://www.newadvent.org/cathen/04767a.htm
DEMU NDIO MIUNGU WA MATAIFA!!!!

Hapa ndipo ubinadamu ulipoteza uhusiano wote na kiroho{spirituality}. Utupu wa kiroho{spiritual} wa dini kuu ulifuata, na kutawala kwa njia ya ugaidi. Udhibiti wa programu za uhalifu uliopangwa ili anza kupoteza nguvu, wengi waligeukia imani ya kuwa hakuna Mungu kwa *futility na kile walichoamini kimakosa kuwa vitu ya kiroho- utupu na kukosa kitu {nothingness}.

Hii ndiyo sababu ni muhimu kutafuta vitu kwa ajili yetu wenyewe, na ikiwezekana kushiriki na wengine. Kwa njia hii tunaweza kujifunza kutokea kila mmoja. Kuna mengi zaidi ya Ushetani ambayo yamebakia bila kuchunguzwa. Mara nyingi watu wasio wafuasi wa Shetani wanapojaribu kutafuta vitu yanayohusu dini yetu, wanapotoshwa na uwongo.


Back to Sermons Page

 

© Copyright 2002, 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457