Familiar ni mnyama ambaye ni zawadi kutoka kwa Shetani kwa mmoja wa wafuasi wake. Mnyama huyu huunda dhamana kali na ya upendo na mmiliki. Mnyama ni tofauti na wanyama wengine kwa kuwa anakaliwa na nasfi ndogo{lesser} ya Demu. Dhamana kawaida huwa karibu sana, ikiwa mmiliki ataugua, mnyama pia atahisi mgonjwa. Mbwa, paka, ndege, *rodents, na wanyama *reptiles wanaweza kua familiars. Mchawi anaweza kuwa na familiar kadhaa. Mtu atapata kwamba wanatunzwa na kulindwa na Mademu wanaosaidia ambao wataona ustawi wao. Wanyama hawa ni zawadi kutoka kwa Shetani, na wanapaswa kutendewa vizuri sana. Wachawi walisemekana kuwatunza sana familiar zao. Wanyama ni watakatifu katika Ushetani na wanapaswa kushughulikiwa kwa *consideration na heshima kila wakati. Hii inajumuisha wanyama wote.
*Thoughtforms zinaweza pia kupandikizwa ndani au kuambatanishwa kwa familiar, lakini hii ni ya hali ya juu na unapaswa kuhakikisha kuwa unajua kenye unachofanya ili hakuna madhara yoyote itakuwa kwa familiar. Daima pitia Shetani. Kamwe usifanye chochote ambacho kinaweza kuumiza familiar wako.
Familiars zinakuwanga na ulinzi wa hali ya juu. Wanaweza kusaidia katika uchawi kama mshirika. Wachawi ambao hawana jamaa wanaweza kuitana kiakili{psychic} ili kuvutia mnyama anayefaa. Familiars wanajulikana kuwa wasikivu kwa nguvu za kiakili{psychic} na ni washirika wanaokaribishwa kwa ajili ya kuinua nguvu, kupiga *spells, scrying, kuwasiliana na roho{spirit}, na kazi nyingine za uchawi. Pia hutumika kama rada ya kiakili{psychic}, ikihisi na uwepo wa nishati yoyote isiyokubalika au hasi utaona ikibadilika. Mbwa-kipenzi wa Kuhani Mkuu alinguruma kwa ukali na kupiga kelele, nywele zake zikiwa zimesimama{bristles} wakati uwepo wa malaika ulipogunduliwa na kumwonya mmiliki wake juu ya uwepo huu usiotakikana.
Ulinzi huenda kwa njia zote mbili. Mmiliki pia atakuwa mlinzi wa kiakili{psychic} kwa familiar zake. Uhusiano hapa ni wa nguvu kama mzazi kwa mtoto. Tofauti na madai yote ya adui na hadithi za kutisha, Shetani anawaheshimu sana wanyama na anataka watu wake wawatendee kwa heshima nyingi. Katika Al Jilwah, anasema, "Wanyama wa ardhini, ndege wa mbinguni, na samaki wa baharini wote wako chini ya udhibiti ya mikono yangu."
Mojawapo ya sababu za kuenea kwa tauni ya bubonic [Kifo Cheusi] huko Uropa wakati wa karne ya 14 ilikuwa Kanisa la Kikristo lililotangazwa kuwa paka ni ya Ibilisi na watu waliwaua kwa wingi. Hili liliacha idadi ya panya kulipuka kwa kasi ya kutisha na viroboto waliokuwa wa kawaida kwa panya kusambaza tauni hiyo kwa wanadamu.
Rudi kwenye Ukurasa wa Mahubiri
© Copyright 2004, 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457