*Aspects ya Nafsi


Kuna *aspects kadhaa tofauti vinavyounda nafsi ya mwanadamu. *Aura, mwili ya mwanga, chakras, etherial double, [mzimu unaochukua sura ya mwili halisi], na akili{intelligence}/fahamu{consciousness}. Nafsi ya mwanadamu pia imeundwa na vipengele vya moto, ardhi, hewa, maji na *quintessence.

Katika kufanya utafiti, nimegundua tofauti kubwa kati ya waandishi kuhusu vipengele maalum vya KA, BA, AKH na SAHU- sehemu za nafsi kama zilivyofaelezewa na Wamisri wa Kale. Kutokana na kile ninachoweza kukusanya, maana halisi ya dhana ya Misri ya "REN" ni mtetemo wa mtu binafsi wa nafsi. Hii inahusiana na Kabalah ya Misri (KA BA AKH). Kabalah ya asili ilikuwa ya Kimisri na madhumuni yalikuwa ni kutafakari juu ya *aspects tofauti vya nafsi, kwa tofauti na kwa pamoja katika mchanganyiko. Hii ni ya juu sana.

Nafsi ya mwanadamu inaweza kugawanywa wakati wa kutafakari. Hili ndilo linalotokea kwa makadirio ya kimakusudi ya astral au uzoefu wa "nje ya mwili" bila hiari. Kama vile nafsi inaweza kugawanywa, inaweza kuunganishwa tena *at will. Nafsi inaweza kuunganishwa na nafsi ya mtu mwingine.

Aura inaweza kupanuliwa na kupunguzwa *at will. Inaweza kupangwa ili kuvutia au kufukuza{repel} kitu chochote *at will. *Aura inaweza kupangwa na *will ili kutenda juu ya *aura ya mwingine kwa bora au mbaya zaidi.

Kila kipengele cha nafsi kinaweza kutafakariwa kwa pekee na kupatiwa nguvu. Kila *aspect kinaweza *invoke na kushikilia kila kipengele. Hii ni ya hali ya juu sana na inaweza kuwa hatari ikiwa mtu hajui anachofanya.

Picha hapa chini zinaonyesha sehemu kuu mbili za nafsi. Kumbuka, mwili wa mwanga hauna umbo. Ingawa vielelezo vyote viwili ni mwanga mweupe, miili hii inaweza kuwa ya rangi yoyote na inaweza kubadilisha rangi kama *moods, afya, *emotions na kadhalika. Wanaweza pia kuwa na rangi zaidi ya moja.

Ya hapo juu, ninaandika kutoka kwa uzoefu wangu wa moja kwa moja na sio nadharia.

 

© Copyright 2006, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457

RU DI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU