Aina za uvumba zinalingana na sayari. Ikiwa unamwita{summoning} Pepo, au kutekeleza maongezi yanayohusiana na duara ya sayari au tambiko inayohitaji aina fulani ya uvumba, uorodheshaji ulio hapa chini unapaswa kuwa wa usaidizi.
JUA
Utawala wa Kimila/Kichawi:
Kujiamini, *fame, mafanikio katika kamari, raha{pleasure}, kupata umaarufu/*charisma, kuongeza afya na *vitality, uponyaji, ulinzi, mafanikio, nguvu za kichawi na utajiri.
Rangi za Mishumaa: Njano, Machungwa, Dhahabu, Nyeupe
Uvumba:
*Frankincense, Chungwa, *Acacia, Calendula, Mdalasini, Bay, Saffroni. Uvumba wa Jua una viungo.
MWEZI
Utawala wa Kimila/Kichawi:
Kwa ajili ya kurahisisha (Mwezi wa Mizani; Mwezi katika hali ya karibu na Zuhura) au kuchochea (Mwezi wa Mapacha; Mwezi katika hali ngumu kwa Mihiri) matatizo ya nyumbani. Mwezi unatawala uzazi, nyumba na mazingira ya karibu, *imagination, kumbukumbu, na ufahamu/ndoto za *psychic, hali ya kiroho{spirituality} na kutafakari. Kwa matambiko/tahaji zinazohusiana na *psychic, Mwezi unapaswa kuwa katika ishara ya maji, ikiwezekana Pisces na katika hali ya karibu na Neptune.
Rangi za Mishumaa:
Uvumba:
*Jasmine, Poppy, Myrtle, Camphor, Sandalwood, Night Blooming Cereus, Opium.
Uvumba wa Mwezi ni wa kutafakari na wa hypnotic.
UTARIDI
Utawala wa Kimila/Kichawi:
Kwa kufaulu mitihani, kuboresha akili, umakini, nguvu ya kiakili, uwezo wa kujifunza, hotuba, uandishi, uchapishaji, maswala ya media, *gossip, slander, mahojiano, kaka, dada, majirani, uvumi, wizi, nyanja zote za masomo na mawasiliano, pia *astral projection, kushinda uraibu, kuvunja matabia.
Rangi za Mishumaa:
Njano, Bluu Isiyokolea
Uvumba:
*Mace, Almond, Storax, Sandalwood, lavender, Benzoin, Bergamot, Mint, Sage, Pea tamu, Lily ya Bonde.
ZUHURA
Utawala wa Kimila/Kichawi:
Upendo, kufanya mapenzi, (*affectionate; Sayari ya Mars ni ya tamaa/ngono), *fidelity, upatanisho, urembo, ujana, urafiki, mvuto, maelewano{harmony}, faida ya kifedha, mapato kuongezeka, *social functions, mali, kuvutia pesa, *indulgence, raha.
Rangi za Mishumaa:
Kijani
Uvumba:
Waridi, *Myrtle, Jasmine, Benzoin, Tufaha, *Chamomile, Cardamom, Gardenia,
hyacinth, Lilac, Magnolia, Vanila, *Licorice, Musk.
MIRIHI
Utawala wa Kimila/Kichawi:
Kulipiza kisasi, hasira, tamaa safi ya ngono, na kuridhika kimwili, ujasiri, uamuzi, kukabiliana na maadui. Kuchochea ajali, moto, majeraha. kujiamini, riadha, nguvu, nishati ya kichawi wa Uchawi Nyeusi, na ukali.
Rangi za Mishumaa:
Nyekundu
Uvumba:
*Dragon’s Blood, Pine, Cypress, Benzoin, Tumbaku, *Coriander, Cumin, Tangawizi,
pilipili.
MSHTARII
Utawala wa Kimila/Kichawi:
Bahati, upanuzi, uwingi, kusafiri umbali mrefu, elimu ya juu, masuala ya kisheria, kodi{taxation}, uwekezaji, misingi, mafanikio, fursa.
Rangi za Mishumaa:
Bluu ya Kifalme, Zambarau
Uvumba:
*Cedar, Nutmeg, Honeysuckle, Mace, Limao, Zafarani.
ZOHALI
Utawala wa Kimila/Kichawi:
Uchawi/Ibada za kifo, Uchawi Mweusi, Masuala ya Kazi, kujidhibiti, uvumilivu, subira, shughuli za shamba, maisha marefu{longevity}, chochote kinachohusiana na Dunia, kinacholeta ustahimilivu kupitia Uchawi Nyeusi, kinyume na Sayari ya Mars (ajali).
Rangi za Mishumaa:
Nyeusi
Uvumba:
*Musk, Myrrh, Civet, Patchouli, Sage.
RUDI KWENYE UKURASA KUU WA UCHAWI WA KISHETANI
© Copyright 2002, 2005, 2006, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457