Muziki: Zawadi ya Shetani kwa Wanadamu


“Ibilisi anakuwanga na nyimbo bora kila wakati.” Hii imejulikana kwa karne nyingi. Pamoja na fasihi, ukumbi wa michezo, na sanaa, Kanisa la Kikristo daima huchukua muziki kwa mashaka makubwa, wakati haikuwa chini ya udhibiti wao mkali na wa kukandamiza.

Shetani ndiye bwana wa fidla na filimbi{flute}. Mtunzi wa Kiitaliano wa karne ya 18 Giuseppe Tartini aliongozwa na Shetani alipomtokea katika ndoto. Alimsikia Shetani akicheza fidla. Alisema ni muziki mzuri zaidi amewahi sikia. Ilikuwa "nzuri isiyoelezeka." Mara akaamka na kujaribu kuiandika ili kuiiga, lakini haikuwa hivyo. Alifanya kadiri alivyoweza kuiga nakala yake, na akaichapisha na kuiita "The Devil's Trill."

Mpiga fidla wa karne ya 19 Niccolo Paganini alikuja chini ya mashaka makali ya "kushirikiana na Ibilisi." Kwa maneno mengine, hakuna mtu angeweza kuandika au kucheza kitu chochote kizuri sana bila msaada kutoka kwa Shetani. Hapa kanisa la Kikristo kwa njia isiyo ya moja kwa moja wanakiri kwamba urembo wa Shetani unazidi kile wanachoabudu.

Modest Mussorgsky alitunga "A Night on Bald Mountain." Muziki huo ulionyesha sabato ya wachawi. Katika kipande cha asili, Shetani alitawala kwa ushindi katika kilele, lakini hii ilikuwa ni kubwa sana kwa Wakristo wa zama za Mussorgsky. Nikolai Rimsky-Korsakov aliirekebisha, akimalizia kipande hicho kwa mlio wa kengele ya kanisa.

Shetani pia aliongoza Carl Orff katika ndoto zake alipoandika "Carmina Burana." Muziki huu unajulikana zaidi kutoka kwa sauti ya filamu, "The Omen." Orff alimwambia mke wake kwamba aliona Mashetani mara nyingi katika ndoto zake wakati anatunga muziki.

Jazz ni sawa na Shetani. Mdundo wa sauti, dansi za muziki huhamasisha, na bila shaka, ulifungua mlango wa rock na roll.

Muziki daima umekuwa rafiki mkubwa kwa wanadamu. Muziki ni kitulizo cha mvutano, kwani unalegeza upande wa kushoto [wa kimantiki] wa ubongo ili upande wa kulia wa kibunifu uweze kujidhihirisha katika mawazo mapya na masuluhisho ya mambo, kwa njia sawa na kutafakari hutusaidia. Shetani anaweza kuongea nasi kupitia muziki. Muziki hufanya shughuli nyingi kuwa za kupendeza zaidi. Kazi inakuwa rahisi, mdundo wa haraka unaweza kumfanya mtu aendelee, mdundo unaotuliza unaweza kutuliza hali ya mtu, na kufanya ngono na muziki kunaweza kuleta furaha.

William Blake aliwahi kusema kwamba mashairi yote ya kweli yalikuwa "kazi ya Ibilisi." Shetani huchochea ubunifu. Anafanya kazi ili kuleta ubunifu katika wanafunzi{disciples} wake wote. Pamoja na Shetani, tunajifunza na kukua kama watu binafsi. Kila mmoja wetu ni wa kipekee.

Adui anataka kila mtu kuwa *clones, drones na *drabs bila mtu binafsi. Programu za adui hudharau na kuua roho{spirit} ya mwanadamu, wakifanya nafsi kuwa mtumwa. Shetani anasimamia uhuru na ubinafsi.


Rudi kwenye Ukurasa wa Mahubiri

 

© Copyright 2002, 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457