Mirihi 325


Kabbalistic/Uchawi Mraba wa Mirihi kwa ajili ya kuwezesha *chakras, kuimarisha Mirihi iliyodhoofika, na kwa usaidizi wa afya na maendeleo ya kiroho kwa ujumla kuhusiana na Mihiri.

Kabbalistic/Uchawi Mraba wa Mirihi kwa mafanikio ya kimwili, ustawi, na mambo ya kidunia [yasiyo ya kiroho{spiritual}]

Mantra ya Mirihi ni ya siku 25 mfululizo. Ni muhimu kamwe usiruke siku yoyote, kwani hii itaharibu kazi nzima.

Anza mantra wakati Mi ina nguvu katika ishara zake za nyumbani za Mapacha au Scorpio, au wakati iko katika ishara yake ya *exalted ya Capricorn.

USIANZE mantra hii wakati Mihiri iko katika ishara za Cancer [kuanguka kwake] au Mizani au Taurus [*detriment yake].

Anza mantra siku ya Jumanne wakati wa saa za Mirihi.

Kwa hakika, kila siku, mantra iliyochaguliwa kwa Mirihi inapaswa kusomwa wakati wa saa za Mirihi kwa siku hiyo. Hii ni bora, lakini bila kujali kamwe usiruke siku yoyote, ata kama ni saa ngapi.

Utawala wa Kimila/Kichawi kwa Mihiri:
Vita, vurugu, hasira, chuki, mapigano{fighting, combat}, nguvu katika riadha, mashindano, chuma, *cutlery, zana zenye ncha kali, silaha za vita, moto, homa{fever}, ugomvi, matamanio, nguvu{energy}, *adventures, shauku{passion} kuumizwa na vurugu, mahusiano ya wanaume, maadui, *strife, utukufu katika vita{battle}, nishati na uhai [pamoja na Jua]. Sehemu za Mwili zinazotawaliwa na Mirihi: Kichwa na uso, ubongo [pamoja na Mercury], viungo vya uzazi na seli nyekundu za damu.

Magonjwa: Maumivu ya kichwa, kipandauso, homa{fever}, maambukizo ya papo hapo, *inflamations, maumivu makali, kuchomwa, *scalds, maumivu ya meno, *sinusitis, masikio kuumwa, shinikizo la damu.

Taaluma: Wanariadha, wanajeshi, wapasuaji, wafanyakazi wa chuma{iron} na chuma{steel}, wahunzi, madaktari wa meno, wahunzi wa bunduki, wachinjaji, vinyozi, kazi ya kawaida.

Katika chati yako ya unajimu: Nyumba ya Mirihi imewekwa ndani, pamoja na nyumba zilizo na ishara za Aries na Scorpio kwenye *cusps.

Mraba wa sayari ya Kabalistic/Kichawi huwezesha *chakra ya *sacral na kuimarisha Mirihi iliyodhoofika/*debilitated katika chati ya unajimu wa mtu na husaidia katika mambo yanayotawaliwa na nyumba na ishara za Aries na Scorpio kwenye *cusps na nyumba iliyo na Mirihi.


MANTRA YA MIRIHI:

AUM KRAAM KRIM KRAUM SAU BHAUMAYA NAMA
Unaweza badilisha NAMA na SVAHA ٠ [S-V-AH-HAH]٠ 
wakati wa kufanya kazi kwa malengo ya kiroho{spiritual}

*Pronunciation:
AHH-UUU-MMM ٠ KK-RR-AH – AH-MM ٠ KK-RR-EE-MM ٠ KK-RR-AH-UUU-MM ٠ SAH-UUU ٠ BB-AHH-UUU-MM-AH-YAH ٠ NAH-MAH

AH *rhymes na Saw ٠ UUU *rhymes na Too ٠ R's zote zinafaa ku viringishwa ٠ K hutetemeka nyuma ya koo.

 

© Copyright 2011, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457


Rudi kwenye Ukurasa Mkuu wa Viwanja vya Kabbalistic/Magick

Rudi kwa Ukurasa wa Kielezo cha Sayari


RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU ZA KISHETANI