Wengi wetu tumewahi hisi nishati ya Baba Shetani. Nishati yake ni nguvu na inatupa hisia ya kujiamini na wakati mwingine *exhilaration. Tunaweza kutafakari juu ya nishati yake na kuifanya iwe na nguvu zaidi katika maisha yetu. Kwa kufanya hivyo, tunakuwa karibu zaidi na Shetani, na kuunda{forming} *bond chenye nguvu zaidi pamoja naye. Zingatia{Tune into} kupumua kwako au chochote unachofanya ili kupumzika na kuzima mawazo yako. Hisi nguvu yake ikipita ndani yako. Unaweza kuibua sigil yake au alama zake zozote. Unaweza pia *visualize sura yake ikiwa umewahi kumuona. Hii inafanywa vyema baada ya ibada tunapo *invoke nishati yake.
© Copyright 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457