Mwezi 3321


Kabbalistic/Magick Mraba ya Mwezi kwa ajili ya kuwezesha chakras, kuimarisha Mwezi uliodhoofika, na kwa usaidizi wa afya na maendeleo ya jumla ya kiroho{spiritual} yanayohusiana na Mwezi.


Kabbalistic/Magick Mraba ya Mewzi kwa ajili ya mafanikio ya kimwili, ustawi, na mambo ya kidunia [yasiyo ya kiroho{spiritual}]

Mantra ya Mwezi ni ya siku 81 mfululizo{in a row}. Ni muhimu kamwe usiruke siku yoyote, kwani hii itaharibu kazi nzima.

Anza mantra wakati Mwezi iko katika awamu yake kamili, ni nguvu katika ishara yake ya nyumbani ya Saratani, au wakati ni katika ishara yake *exalted ya Taurus. Mwezi huwa na nguvu zaidi wakati umejaa.

USIANZE mantra hii wakati Mwezi uko katika ishara za Scorpio [kuanguka kwake] au Capricorn [*detriment yake].

Anza mantra siku ya Jumatatu, wakati wa saa za Mwezi.

Anza wakati wa saa za usiku, wakati Jua imeenda kabisa na ni giza, na Mwezi unaonekana, Mwezi mkali zaidi, bora zaidi.

Kwa hakika, kila siku, mantra iliyochaguliwa kwa Mwezi inapaswa kusomwa wakati wa saa za Mwezi kwa siku hiyo. Hii ni bora, lakini bila kujali kamwe usiruke siku yoyote, ata kama ni saa ngapi.

Utawala wa Kimila/Kichawi kwa Mwezi:
Nyumba na familia, chakula na vinywaji, mikahawa, hoteli na nyumba za wageni{inns}, maji na vinywaji{liquids}, *domestic affairs, wanawake, utoto wa mapema, mama, umma, hisia{emotions, feelings}, masilika, kumbukumbu, *unconscious, tabia{habits}, kuzaa, hisia{moods}, *psyche, kumbukumbu za mapema.

Sehemu za Mwili zinazotawaliwa na Mwezi: Matiti, tumbo la uzazi, sehemu za limfu na majimaji mengine yasiyo ya damu ya mwili, jasho na mate, tumbo, na viungo vya usagaji chakula.

Magonjwa: Majimaji mengi ya mwili au upungufu, *manic/huzuni, matatizo ya hedhi, colitis, magonjwa ya matumbo.

Taaluma: Wapishi, wahudumu wa upishi, wahudumu wa hoteli/wakaribishaji wageni, wafanyakazi wa migahawa, kazi zote za kawaida, wauguzi wa watoto, wakunga.

Mwezi unatawala: Mama yako, wanawake katika maisha yako, familia yako, nyumba yako, hisia{emotions, moods, feelings} zako, na angavu{intuition}, fedha, na jicho lako la tatu.

Katika chati yako ya unajimu: Nyumba ambayo Mwezi umewekwa, pamoja na nyumba ambazo zina ishara ya Cancer kwenye *cusp.

Mraba wa sayari ya Kabalistic/Kichawi huwezesha jicho la tatu, na huimarisha Mwezi uliodhoofika/*debilitated katika chati ya unajimu wa mtu, kusaidia katika mambo yanayotawaliwa na nyumba/manyumba na ishara ya mwezi ya Cancer kwenye cusp/s na nyumba iliyo na Mwezi.


*MANTRA YA MWEZI:

AUM ŞRAAM ŞRIM ŞRAUM SAU CHANDRAMASE NAMA
Una weza badilisha NAMA na SVAHA ٠ [S-V-AH-HAH]٠ wakati wa kufanya kazi kwa malengo ya kiroho{spiritual}

Matamshi: AHH-UUU-MMM ٠ SH-RR-AH – AH-MM ٠ SH-RR-EE-MM ٠ SH-RR-AH-UU-MM ٠ SAH-UUU ٠ CH-AH-NN-D-RR-AH-MM-AHSAY ٠ NAH-MAH

AH *rhymes na Saw ٠ UUU *rhymes na Too ٠ R's zote zinafaa ku viringishwa ٠

CH hutamkwa ipasavyo kama Ich ya Kijerumani, hakuna neno la Kiingereza ina fanana. CH ni sauti hutolewa kwa kaakaa laini kuelekea kooni, si kwa kaakaa la mbele/gumu kama kwa Kiingereza.

 

© Copyright 2011, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457


Rudi kwenye Ukurasa Mkuu wa Viwanja vya Kabbalistic/Magick

Rudi kwa Ukurasa wa Kielezo cha Sayari