Kufungua Mnara wa Mlinzi


*Tafadhali kumbuka:
Kwa kujibu idadi ya watu wanaulizia tafakari hii kutoka kwa Tafakari ya Nguvu ya Shetani Vol. III [moja kati ya hizo mbili ambazo hazijawahi kuwekwa kwenye tovuti ya JoS kwa sababu ya ukosefu wa muda kwa upande wangu], nimeweka hili, LAKINI, hii imepitwa na wakati kwa njia ambayo Shetani na Lilith wamenipa ujuzi mpya, na kuifanya matokeo ya kutafakari za chakra nguvu zaidi. Mitetemo iliyotolewa hapa chini ni matoleo dhaifu, lakini ni kutoka kwa kutafakari asili. Ikiwa unataka matokeo zaidi{extreme}, kisha tumia mitetemo kwa kila chakras na viendelezi vyake zimeonyeshwa kwenye ukurasa huu wa wavuti


Chakras tatu za "fundo" zinazorejelewa katika Kisanskrit ni msingi, moyo [chakra kuu ya fundo] na ya sita, nyuma ya jicho la tatu - Moyo na vipanuzi vya upande kwenye chakras za bega, msingi na vipanuzi  kwenye chakra za nyonga na ya sita na vipanuzi katika chakras za hekalu. Hizi tatu zinatofautiana na wengine kwa kuwa wao ni granthis ambapo nyoka anaweza kukutana na kizuizi kikubwa, ikiizuia ipande kama haija funguliwa. Moyo ina kizuizi chenye nguvu zaidi kati ya hizo tatu, ambazo huweka nyoka kwenye chakras za chini, kuzuia ufahamu uliopanuliwa na uwezo wingine wa kiakili{psychic}. Hii inaweza kuonekana wazi katika Sigil ya Barbatos kushoto.

Hapa ndipo pia hadithi ya uwongo ya kusulubiwa kwa Mnazareti huyo mchafu ilipoibiwa kutoka- DHANA hii; Mnazareti akiwa katikati ya wale wengine wawili ambao eti walikuwa wamesulubishwa. Kadiri tunavyojifunza zaidi kuhusu uchawi, ni pasipo shaka yoyote kwamba Ukristo si kitu zaidi ya udanganyifu na ni uongo kabisa katika kila jambo. Nimejifunza kutoka kwa Shetani kwamba Mnara wa Mlinzi wa Enochian, mafundo matatu na mafundisho ya esoteric katika Necronomicon yote ni fumbo. Adui anadanganya ubinadamu kwa kutuongoza kuamini kwamba haya yote ni nyenzo, kama vile wahusika na mahali, wakati ukweli wote ni dhana za kiroho. Njia ya kweli ya kiroho inatuongoza kwa uungu ambapo tunafikia malengo yetu, matamanio na kuwa mabwana wa hatima zetu wenyewe.


 *Sigil ya Set's pia inaonyesha Granthis tatu. Kumbuka jinsi misalaba *flares kwenye *ends, ikionyesha chakras. Ili kuziwezesha kikamilifu chakra hizi tatu lazima mtu atetemeshe zote nne pamoja na ya tano katikati, *taking turns kwa kila moja na hapa ndipo swastika ilitoka hapo awali, kwani swastika iko katika umbo la nishati ya kiroho{spiritual}. Mara tu granthis zote tatu zitakapofunguliwa kikamilifu, mtu atafikia kiwango kipya cha maarifa na ufahamu wa kiroho. Nyoka wa Shetani yuko huru kupanda{to ascend}.

Jitahidi uwezavyo kuhisi kila mitetemo kwenye chakra unayofanyia kazi. Tu zingatia sana{intensly}. Hii ni ngumu, lakini fanya bora uwezavyo.

Kila moja ya tafakari hizi ina nguvu sana na chakra moja tu inapaswa kufanywa kwa wakati mmoja na kipindi cha kungojea cha saa 48 kabla ya kuendelea hadi nyingine. Hisia za shinikizo au maumivu huonyesha kuwa umefaulu kufungua pointi hizi, lakini uzoefu unaonyesha kuwa hizi zinaweza kufungwa na huenda ikabidi mazoezi yarudiwe hadi yawe wazi kabisa. Walakini mara nyingi mtu lazima arudie haya ni ya mtu binafsi.


Kufungua Mnara wa Mlinzi ya Mfungo ya Tatu

Mchoro hapo juu unaonyesha kutoka kwa mtazamo unaoangalia *down at the top ya kichwa. Kumbuka robo nne. Ndani ya hizi kuna minara minne ya walinzi ya chakra ya sita. Chakra ya sita nyuma ya jicho la tatu katikati{middle} ni katikati{center}.

1. Anza na jicho la tatu mbele. Vuta kwa nguvu kwenye jicho lako la tatu hadi mapafu yako yajae kwa starehe na uki pumua nje, tetemesha "THOTH" "TH - TH - TH – TH - OH - OH - OH - OH - TH - TH - TH - TH -TH". Hii inafanywa kwa kutetemesha TH na OH kwa wakati mmoja kama venye unapofungua jicho lako la tatu kwa mara ya kwanza. Unapopumua ndani kwa nishati, tazama kila chakra kwa njia sahihi{correct} inavyopaswa kupangiliwa [pointi nne zikitazama ndani, na chakra ya sita ponti ikitazama chini] na iwashe kwa nishati.

2. Rudia hatua ulizopewa katika nambari 1 sasa na chakra yako ya kushoto ya hekalu

3. Rudia hatua ulizopewa katika nambari ya kwanza na chakra yako ya nyuma nyuma ya kichwa chako, moja kwa moja nyuma ya chakra ya sita.

4. Fanya vivyo hivyo na chakra yako ya kulia ya hekalu

5. Sasa fanya vivyo hivyo na chakra yako ya sita katikati ya kichwa chako moja kwa moja nyuma ya jicho la tatu.

6. Kurudia hatua 1 - 5, mara saba.


Kufungua Mnara wa Mlinzi ya Mfungo ya Pili

1. Anza na upanuzi wa chakra ya moyo mbele ya kifua chako. Vuta kwa nguvu kwenye chakra hii hadi mapafu yako yajae kwa starehe na uki pumua nje, tetemesha "AMON" "AH - AH - AH – AH - M - M - M - M - UH - UH - N - N -N – N". Unapopumua kwa nishati, tazama kila chakra kwa njia sahihi inavyopaswa kupangiliwa [pointi zikitazama ndani] na iwashe kwa nishati. Chakra ya katikati ya moyo ina pointi zinazotazama juu na chini katika umbo la yoni [ambalo ni *vagina] linaloonyeshwa na Kadi ya Tarot upande wa kushoto.

2. Rudia hatua ulizopewa katika nambari 1 sasa na chakra ya bega lako la kushoto

3. Rudia hatua ulizopewa katika nambari ya kwanza na chakra ya moyo wako nyuma kwenye mgongo wako, *directly nyuma ya chakra yako kuu ya moyo.

4. Fanya vivyo hivyo na chakra ya bega lako la kulia

5. Sasa fanya vivyo hivyo na chakra ya moyo wako katikati ya kifua chako.

Kurudia hatua 1 - 5, mara saba.


Kufungua Mnara wa Mlinzi ya Mfungo ya Kwanza

1. Anza na upanuzi wa chakra msingi. Hii ni haki kwenye mzizi wa clitoris kwa wanawake na uume kwa wanaume. Pumua ndani nishati kwenye chakra hii hadi mapafu yako yajae kwa starehe na uki pumua nje, weka kidevu chako kwenye kifua chako na utetemeke. "REIð" YANI Rune ya Reið. "RRR-AY-AY-AY-EEE-TH-TH-TH"
Herufi ð inatetemeka kama TH nzito, lakini ulimi uko juu kidogo ambapo meno yako mawili yanakutana na ufizi wako. Hii inakamilisha mzunguko wa nguvu wa nishati. R hupigwa kila wakati.

2. Unapopumua kwa nishati, ona kila chakra kwa njia sahihi{correct} inavyopaswa kupangiliwa [pointi zikitazama ndani], na iwake kwa nishati. Chakra ya msingi ya katikati inaelekea juu.

3. Rudia hatua ulizopewa katika nambari 1 sasa na chakra ya nyonga yako ya kushoto

4. Rudia hatua ulizopewa katika nambari 1 na chakra yako ya nyuma kwenye mgongo wako, moja kwa moja kwenye mkia wako.

5. Fanya vivyo hivyo na chakra ya nyonga yako ya kulia

6. Sasa fanya vivyo hivyo na chakra yako ya msingi ambayo iko kwenye *perineum yako. [Msamba uko nusu-njia kati ya mkundu wako na sehemu za *genitals.]

Kurudia hatua 1 - 5, mara saba.


Kufungua Chakra Zilibaki

Chakra ya Koo
1. Anza na chakra yako ya koo. Pumua nishati ndani kwenye kiendelezi cha chakra ya koo yako ya mbele na utetemeke "NINNGHIZHIDDA." N-N-N-N-N-E-E-E-E-N-N-N-N-N-GH-GH-GH-GH-E-E-E-E-ZH-ZH-ZH-ZH-E-E-E-TH-TH-TH-THE-THE-AH-AH-AH. Kumbuka "hotuba" ya Kabali ni tofauti na maneno yetu ya kila siku.
I's hutamkwa kama EE, kama katika neno "ona." "GH" ni ya utumbo na imetengenezwa nyuma ya koo, sio kama K ya utumbo mgumu, lakini kama sauti laini. "ZH" hutamkwa kama "J" ya Kifaransa kama vile "Jacques." Tena, D inatamkwa kama "THE" kama ilivyotolewa hapo juu. Pangilia chakra yako kama inavyoonyeshwa kwenye picha hapa chini.

2. Sasa, zingatia chakra yako ya katikati ya koo na ufanye sawa na katika hatua ya kwanza.

3. Kisha, fanya vivyo hivyo na ugani wa nyuma kwenye mgongo wako nyuma ya shingo yako.

4. Kurudia hatua 1-3 mara saba.


Chakra ya Solar Plexus [666]

1. Pumua nishati ndani kwenye sehemu ya mbele ya plexus chakra ya jua na uki pumua nje weka kidevu chako kwenye kifua chako na utetemeke: RA R-R-R-AH-AH-AH-AH-AH-AH. Hakikisha umekunja R yako. Pangilia chakra yako kama inavyoonyeshwa kwenye kielelezo kulia.

2. Rudia hatua ya 1 na chakra yako ya kati kisha chakra yako ya nyuma

3. Fanya mara saba hapo juu.


Chakra ya Sacral

1. Pumua nishati ndani kwenye sehemu ya mbele ya plexus chakra ya jua na uki pumua nje weka kidevu chako kwenye kifua chako na utetemeke "NERGAL" N-N-N-AY-AY-R-R-R-G-G-G-AY-AY-L-L-L. Hakikisha umekunja R yako. Pangilia chakra yako kama inavyoonyeshwa kwenye kielelezo kushoto.

2. Rudia hatua ya 1 na chakra yako ya kati kisha chakra yako ya nyuma

3. Fanya hio juu mara saba.

 

© Copyright 2010, 2012, 2016, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457


RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU