Kurudi Nyuma kwa Maisha Zako


Zoezi hili linahitaji kupumzika kwa kina. Lala katika nafasi nzuri.

Unapaswa kuanza kwa kupumua ndani hadi hesabu sita*
Shikilia kwa hesabu sita
Na pumua nje kwa hesabu ya sita.

*Kutumia 6 ni mwongozo tu. Ikiwa nne ni vizuri zaidi, hii ni sawa. KAMWE usijikaze au ujilazimishe kushikilia pumzi yako! Unapaswa kuskia starehe na kupumzika wakati wote.

Fanya hivi mara kadhaa hadi uhisi umepumzika kabisa na huwezi tena kuhisi mwili wako. Geuza mawazo yako ndani na kwa upande wako wote wa nyuma na kuanguka{free fall}. Achilia tu na hisia ya kuanguka inapaswa kudhihirika. Kwa watafakari wasio na uzoefu, hii inaweza kukufanya uwe na kizunguzungu. Ikiwa unajisikia vibaya au kizunguzungu, zingatia tu sehemu ya mbele ya mwili wako ili kuacha kuanguka{free fall}. Kadiri unavyoanguka, ndivyo hali yako ya *trance inavyoongezeka na ndivyo inavyokuwa rahisi kufanya kazi na akili yako.

Wakati umefikia hali ya *trance ya kina, jionee mwenyewe ukitembea kuelekea mlango katika akili yako. Unapotembea kuelekea mlangoni, jiambie unapopitia mlangoni, utaingia kwenye maisha yako ya zamani. Haya yanapaswa kuwa maisha yaliyotangulia maisha yako sasa. Tembea kupitia mlango, angalia mazingira yako.

Ili kurudi maisha kadhaa, tazama tu mlango na ujiambie unarudi kwa mwaka wowote unaotaka kurudi. Ili kwenda mbele katika maisha yoyote yaliyopita, utajisonga mbele kwa kuuliza akili yako ikupeleke kwenye hatua maalum ya maisha au mwaka wako. Chukua wakati wa kutazama pande zote na uulize  akili yako maswali. Ili kurudi nyuma zaidi katika kila maisha ya zamani, utajirudisha nyuma kwa kuiambia akili yako ikurudishe nyuma zaidi hadi usiweze kurudi tena, na tena, pitia mlango mwingine, ukijiambia kuwa unaingia katika maisha kabla ya maisha haya unayoyatazama. Utakuwa nyuma zaidi kwa wakati. Ili kusonga mbele katika maisha yako yajayo- tumia mbinu sawa, fahamu tu kuwa hii ni moja tu ya mustakabali unaowezekana. Ili kujiondoa, rudi kupitia mlango ndani sasa.

Ku Rudi kwa Habari inayohusu Akili

RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU

 

© Copyright 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457