Kurudisha Malaana 2


Kwa habari zaidi, tafadhali soma kupitia KURUDISHA LAANA SEHEMU YA 1. Kwanza kabisa, nataka kusema hapa kwamba pamoja na sisi kulaaniwa, kuna wajinga wa Wiccan na wengine ambao wametuma nguvu za kisheria kwetu, haswa kuhusu RTRs, kwani RTRs zimekuwa zikimuangamiza adui kikamilifu na kwa ufanisi. [The Final RTR is the most powerful against them, as that is their bulwark].

Shetani alinithibitishia tu mapema asubuhi ya leo kile nilichokuwa tayari nimeamini; kwamba YEYE ana uwezo juu ya wachawi WOTE aliosema, “wamejiunganishe na Miungu yetu.” Kwa maneno mengine, watendaji wowote wa uchawi{magic, witchcraft} wanaoungana na Miungu ya Wapagani wote wako chini ya uwezo Wake. Pia alisema kwamba asilimia kubwa sana ya Wiccans na jamaa zao ni waoga. Akasema, "Wanaogopa." "Ndiyo maana wanafanya Wicca."

Kwa msisitizo mkubwa juu ya Mwezi, kama chanzo chenye nguvu sana cha nishati safi, Jua mara nyingi hupuuzwa. Nimepata nishati ya Jua kuwa yenye nguvu zaidi kati ya 11:00 na 14:00 takriban. Huu ndio wakati Jua linapita *directly overhead.

Wakati Jua linapochomoza [kupanda{waxing} kila siku], huu ni wakati mwingine wenye nguvu. Wakati mzuri wa kutafakari umekuwa kabla ya Jua kuchomoza, kabla ya mapambazuko. Jua iki *set [kupungua{wanning}] pia kuna athari sawa na Mwezi unaopungua katika kuondoa na kumaliza vitu. Lakini, DAIMA zingatia Mwezi, ishara na awamu. [Hakikisha mwezi hauko *void unapoanza kufanya kazi hii]. Kamwe usianze kufanya kazi wakati mwezi iko *void.

Jua lina nishati ya moto, kipengele cha moto, ambacho ni cheche ya maisha. Unapofanya usafi kamili wa aura, kutoka nje kwenye Jua siku ya jua wakati Jua liko juu angani kunaweza kufanya maajabu. Ili hii iwe na ufanisi, lazima iwe *directly kwenye Jua. Pumua tu nishati ya jua ndani ya aura na *nafsi yako, jishughulishe na nishati ya jua, ambayo ni rahisi zaidi kuona ukiwa umeketi, umesimama au umelala kwenye mwangaza wa Jua. Unaweza hata kufanya rosary mzima, kutetemeka SURYA [Shetani aliniambia mara 216 ni bora zaidi kuliko 108], na kufanya hivi, fikia tu ushanga wa mwisho kwenye rozari yako kisha uirejeshe. Nimefanya kazi na hii na ni nzuri sana.

Unaweza kupumua kwa nishati kutoka kwa Jua, kuwasha aura yako kwa uzuri na kisha kwa kila pumzi, tetemeka. SURYA.
"SURYA" SUUU-RR-YAH Kwa sauti ya Mp3 ya Surya, tafadhali bofya hapa

Tambiko:
Kazi hii inapaswa kurudiwa kila siku, ikiwezekana. Hii itakaa juu ya nafsi yako milele, kukulinda, na kukuweka salama kutokana na uovu wa wengine; kuwaangamiza adui zako.

1. Inua nguvu zako. Hii inafanywa vyema zaidi [kama ilivyo kwa utendakazi wote wa ucawi] unapokuwa na nguvu zaidi, unahisi buzz kali ya nishati. Ikiwa wewe ni mpya, fanya bora uwezavyo. Unaweza pia kutumia nishati ya Jua [funga macho yako, ukitazama jua, zingatia jua na kupumua hio nishati ndani], kama inavyoonyeshwa hapo juu ili kuongeza nguvu zako kwa kusoma SURYA, kwa kutumia rozari ya Shetani [au kitu chochote itakusaidia kuweka hesabu]

2. Safisha aura yako vizuri, kama ilivyoelekezwa kutoka Sehemu ya 1 ya Kurudisha Laana. USISITE kumuomba Mshestani akusaidie. Hata kama huwezi kusikia, kuhisi au kumuona Mshetani, ujue yupo na anakusaidia, na kurudisha nguvu kwa mtumaji.

3. Jitie kwenye nuru. Tena, narudia, ikiwezekana, tumia Jua. Mbinu nyingine yenye ufanisi, ikiwa huwezi kutumia Jua na unatatizika kuibua ni kutumia taa, yenye balbu nyangavu inayokukabili, inayoangaza usoni mwako huku ukifunga macho yako na kuwazia mwanga.

Kutumia taa ya mezani yenye shingo inayonyumbulika, kuangaza usoni mwako ni kichocheo kingine cha kuibua mwanga ndani ya nyumba. USITUMIE BABU AU TAA AMBAZO ZIMEJENGWA NDANI YAKE!! HIZI ZINAWEZA KUHARIBU SANA MACHO YAKO, JAPOKUWA MACHO YAKO YAMEFUNGWA. TUMIA BABU LAINI NYEUPE LAINI, AMBALO NI SALAMA UKICHAGUA KUFANYA HIVI. KUMBUKA MWENGI NYINGI UNA INAKWANGA WA LED. USIZITUMIE!!

4. Thibitisha mara 18: "Aura yangu mara kwa mara na kwa kuendelea inakengeusha na kufukuza nguvu zozote mbaya, laana, vifungo, chuki, nia mbaya, *thoughtforms, na nishati za uharibifu zinazoelekezwa kwangu na mara moja inazirudisha moja kwa moja kwa watumaji."

Fanya hivi kila siku. Ninapendekeza sana kila mtu afanye USAFI WA AURA ulioonyeshwa ndani ya KURUDISHA LAANA SEHEMU YA 1, na endelea kurudia hii. Utapata kwa kusafisha sana aura yako, sio tu hii itaondoa laana yoyote, lakini kila aina ya ujinga mwingine ambao umekuweka chini katika maisha yako ya kibinafsi. Aura chafu pia inazuia utendaji wako na nguvu za kibinafsi. Aura na nafsi zimekusanya kila aina ya nishati hasi katika maisha mengi na hizi haziwezi kuondolewa katika kazi moja. Ni lazima irudiwe. TENA, nakushauri sana mwambie Shetani akutumie Mshetani afanye kazi nawe katika kuondoa nguvu hizi. Hata kama wewe ni mpya na hauwezi kumuona au kumhisi, fuata hisia zako za utumbo na *intuition.

Ni muhimu sana kusema sala hii kila wakati kabla ya kusafisha aura yako:

Nisikie ee Shetani Mkuu na Mwenye Nguvu. Ninaomba msaada wako katika kurudisha laana hizi, zilizoongezwa kwa watumaji ambao wametushambulia kwa kufanya kazi yako. Unajua wao ni akina nani. Watajua ghadhabu yako. Ninaomba unitumie Pepo kuchukua na kutoa laana na mawazo ambayo nimesafisha kutoka kwa aura na roho yangu moja kwa moja kwa wale waliowatuma. Ewe Shetani mwenye nguvu, nijaze ukweli, hekima na ufahamu, uniweke imara katika imani na utumishi wangu, ili nikae daima ndani yako kwa Sifa, Heshima, na Utukufu upewe Wewe milele na milele.

Hasa ikiwa unafanya kazi kwa bidii kwa ajili ya Shetani.


KURUDISHA MALAANA 1

 

© Copyright 2017, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457