Kutamka na Kutetmeka Runes


Kuna tofauti katika sauti ambazo zinaweza kufanywa kwa kila herufi. Matamshi ya umlauts ni kama ifuatavyo:

Kutamka ya Anglo-Saxon na Gothic ni vifuatavyo:

Matamshi ya Kijerumani ni kama ifuatavyo (tazama pia umlauts hapo juu)

Katika "Hotuba" ya Kabalistic, kila moja ya herufi lazima itetemeshwe kwa usahihi. Sauti za Kabalistiki kwa kila herufi ni tofauti kidogo kuliko zinapotumiwa katika hotuba ya kawaida ya kila siku.

Kwa kutetemesha Runes, tumia mifano hapo juu. Matamshi ya kimsingi ya Kabalistic ya herufi ambazo hazijaorodheshwa hapo juu ni kama ifuatavyo (kumbuka, ni muhimu kutamka Runes kama ilivyo kwa lahaja zilizo hapo juu)Ifuatayo ni hotuba ya msingi ya kabalistic:

A (ona minfano juu)
B hutetemeka huku midomo ikiwa katika nafasi ta kumbusu.
C hutetemeka nyuma ya koo, kama mzomeo ngumu wa paka.
Kwa herufi D, fuata sheria za mfano wa Gothic hapo juu:
Ð ð - Kiingereza "TH" Mwanzoni au mwisho wa neno, th kama "thing," katikati ya neno th kama "there."
E hutetemeka nyuma ya koo kama katika kutoa sauti ya herufi Y, kwa mfano "Y-E-E-E-E-E-E-E-E" huku ukitikisa mara kwa mara Y sauti kwenye koo.
F inatetemeka kama V nyepesi.
G inatetemeka nyuma ya koo na iko kwenye *gutteral, kama ku *gargle kwa upole, lakini inapaswa kuwa laini na thabiti.
Kwa herufi H, tumia kanuni za Kijerumani:
H h: kama kwa Kijerumani "nacht" Hii ni kama "ich" lakini hutamkwa zaidi kidogo na nyuma ya koo.
Ili kutetemesha herufi kwa usahihi I, tetema "ah" na ubadilishe kwa I ya muda mrefu ili kupata hisia, hii pia ni kutoka nyuma ya koo.

J hutetemeka kwa upole kama ilivyo "Jacques" kwa Kifaransa au kwa baadhi ya maneno, J ya Kiingereza kigumu, lakini hakikisha unaweza kuhisi mtetemo.

K inatetemeka, kama ukiwa katika kiwango ya kutoa mate na koo
L, M, N, hutetemeka kama ilivyo kwa Kiingereza cha kawaida.
O inatetemeka kama Kiingereza kirefu "O"
P ni gumu kidogo. Tetema kama herufi B, (B hutetemeka huku midomo ikiwa katika nafasi ta kumbusu.), wakati huo huo, kufanya metemo ya herufi V
Q ni sawa na herufi C
R kwa kawaida huviringishwa, lakini pia inaweza kuwa R ya  Kiingereza, kama katika *Gothic na Kiingereza Mzee

S mwanzoni au mwisho wa neno, tamka kama S, yani "Satan."

T ni gumu. Tetema "TH" na wakati huo huo Z. Ni katikati za hizo mbili.
TH ni Th, kama "The."
U hutetemeka kama ilivyo katika neno "ooze."
V kama "Very."
W ni W ya Kiingerea
X, inafanana na K
Y, sawa na Y ya  Kiingereza
Z, sawa na Z ya  Kiingereza

Sasa, kwa mfano, chukua rune "ÜRUZ." Ili kutetemeka vizuri rune hii itakuwa kama ifuatavyo:
Ü-Ü-Ü-Ü-Ü-Ü-Ü-Ü-Ü-R-R-R-R-R-R-R-R-R-O-O-O-O-O-O-O-O-O-O-O-O-Z-Z-Z-Z-Z-Z-Z-Z-Z-Z

Hizo R's inapaswa kuvingirwa na U ya pili hutamkwa kama katika neno "ooze." Kama mantra, kutetemeka kwa runes kunapaswa kufanywa mara kwa mara na inapaswa kuwa kwa idadi ya nyakati kama vile idadi ya rune, au inaweza kuwa mafungu ya nambari hii. Mara tu unapoanza kufanya kazi na rune fulani, kaa na idadi sawa ya nyakati kwa kila kikao. Kwa mfano, sema unafanya kazi na rune ya ÜRUZ, ambayo ni namba mbili na unatetemeka rune mara 20 (nyingi ya 2), unapaswa daima kutetemeka rune hii mara 20 kwa kazi maalum.


Rudi kwenye Ukurasa wa Runes