Kutafkari kutokea Shetani


Hii ndiyo tafakari ya furaha zaidi ambayo nimewahi kufanya; ilikuwa zawadi kwangu kutoka kwa Baba Shetani. Kutafakari huku huchochea chakra ya taji na tezi ya pineal na ni hali ya juu ya asili ambayo hudumu kwa muda mrefu baada ya kutafakari kufanywa.

Anza kwa "kupumua" ndani ya jicho lako la tatu. Fanya hivi mara kadhaa ndani na nje. (Angalia Foundation Meditation jinsi ya kufanya hivyo ikiwa hujui.)

Vuta ndani ya jicho lako la tatu kwa kina, hadi kwenye chakra yako ya 6. (Chakra ya 6 iko nyuma ya jicho la tatu na iko karibu nusu ya njia kutoka kwa jicho lako la tatu na nyuma ya kichwa chako.)

Shikilia pumzi yako kwa hesabu ya tano.  (Unaweza kushikilia muda mrefu zaidi ikiwa una uzoefu wa kupumua kwa nguvu.)

Sasa pumua nje polepole na unapopumua nje, *visualize nishati kutoka kwa kuvuta pumzi nadni yako kama mwanga angavu na *flood nayo sehemu ya juu ya kichwa chako.  (Eneo la ubongo wako.)

Fanya hivi mara tano hadi kumi.  Unapomaliza, pumzika tu na utafakari juu ya nishati nzuri.  Ni *addicting.

*HAIL SHETANI!!


RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU ZA KISHETANI

 

© Copyright 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457