Mraba wa Kabbalistic/Uchawi wa Zohali kwa ajili ya kuwezesha chakras, na kazi za kiroho zinazohusiana na Zohali.
Kabbalistic/Uchawi Mraba ya Zohali kwa nyenzo na mambo ya kidunia [yasiyo ya kiroho{spiritual}] yanayohusiana na Zohali
ONYO!
KULINGANA NA MAANDIKO YOTE KUU YA KIMAPOKEO KUHUSU MANTRAS [MANTRAS HAPA NI MANTRAS SANIFU KWA SAYARI], YALISOMA KWAMBA ZOHALI MANTA/KUFANYA KAZI "ITAKOMESHA" MIELEKEO HASI YA ZOHALI, HASA WAKATI WA TRANSITS. UZOEFU WANGU BINAFSI NA HII NA WA WENGINE WACHACHE WALIOFANYA KAZI HII WAMEKUTA UPINZANI KUWA WA KWELI, HATA WAKATI ZOHALI HAKUWA SHUGHULI KATIKA KUTAZAMIA *NEGATIVELY ASPECT NYINGINE YOYOTE KATIKA CHATI. KARIBUNI PAPO HAPO, MATUKIO YA BAHATI MBAYA YANAYOHUSISHWA NA NYUMBA YA ZOHALI ILIYOPANGIWA YALIANZA KUTOKEA. UKIHISI LAZIMA UFANYE KAZI HAPA CHINI, BASI UWE ONYO NA UENDELEE KWA TAHADHARI!
KWA AJILI YA VIWANJA VINGINE VYA SAYARI, VYOTE VILIFANYA KAZI VIZURI NA KWA NAMNA CHANYA. ZOHALI DAIMA AMEKUWA MWANAUME KWA HESHIMA NYINGI. HII HAIMAANISHI KWAMBA NISHATI ZA ZOHALI HAZIWEZI KUELEKEZWA VIZURI. ONYO TU NA UKIAMUA KUFANYA KAZI KWA ZOHALI, KUWA NA UFAHAMU.
Mantra ya Zohali ni ya siku 9 mfululizo. Ni muhimu kamwe usiruke siku yoyote, kwani hii itaharibu kazi nzima.
Anza mantra wakati Zohali ina nguvu katika ishara zake za nyumbani za Capricorn au Aquarius, au wakati iko katika ishara yake *exalted ya Libra.
USIANZE mantra hii wakati Zohali iko katika ishara za Mapacha [kuanguka kwake] au Kansa au Leo [*detriment yake].
Anza mantra siku ya Jumamosi wakati wa saa za Zohali.
Kwa hakika, kila siku, mantra iliyochaguliwa kwa ajili ya Zohali inapaswa kusomwa wakati wa saa za Zohali kwa siku hiyo. Hii ni bora, lakini bila kujali kamwe usiruke siku yoyote, ata kama ni saa ngapi.
Utawala wa Kimila/Kichawi kwa Zohali:
Mateso, taabu, hasara{loss}, uvumilivu, baba, wazee, nidhamu, *recluse, vikwazo, umaskini, kuchelewa, kasoro, vifo, *misers, wale wanao jifunga kwa njaa, *ascetics, denial, madeni, wajane, maiti, makaburi, hofu, ukosefu wa usalama, magonjwa, huzuni, mahusiano ya muda mrefu, *duty, mapungufu{limitations}, muda na saa, subira, *serious, mashaka, kukata tamaa, kujifunza kutokana na makosa kwa njia ngumu.
Sehemu za mwili zinazotawaliwa na Zohali: Mifupa, magoti, masikio (kusikia, usawa), wengu, ngozi, meno.
Magonjwa: Magonjwa sugu ya kupoteza, magonjwa ya ngozi, mifupa na meno, uziwi, vertigo, *tinnitus (kupigia masikioni), unyogovu, kuziba, kuganda kwa damu, vilio, mawe kwenye figo, *arthritis, upungufu wa kinga.
Taaluma: Wajenzi, walinzi wa gereza, wachimba makaburi na *morticians.
Katika chati yako ya unajimu: Nyumba ya Zohali imewekwa ndani, pamoja na nyumba ambazo zina ishara ya Capricorn kwenye kilele. [KAZI YA ZOHALI ITAWASHA MAENEO HAYA YA MAISHA YAKO NA HII HUENDA INAWEZA KUWA SI BAHATI!]
Kazi ya mraba ya sayari ya Kabalistic/Kichawi huwezesha chakra ya msingi. Zohali inapoelekezwa ipasavyo huleta hisia chanya ya nidhamu, uvumilivu, na mpangilio. Zohali pia inaweza kuleta mafanikio na maendeleo kupitia kazi ngumu, haswa katika taaluma. [TENA... FAHAMU. HATA YAKIELEKEZWA NA UTHIBITISHO, MATUKIO YA BAHATI MBAYA YANAWEZA KUDHIHIRISHA BILA KUJALI.]
MANTRA YA ZIHALI:
AUM PRAAM PRIM PRAUM SAU SHANISWARA NAMA
Unaweza badilisha NAMA na SVAHA ٠ [S-V-AH-HAH]٠ wakati wa kufanya kazi kwa malengo ya kiroho{spiritual}
*Pronunciation:
AHH-UUU-MMM ٠ P-RR-AH – AH-MM ٠ P-RR-EE-MM ٠
P-RR-AH-UUU-MM ٠ SAH-UUU ٠ SH-AH-NEE-SS-VAH-RR-AH ٠
NAH-MAH
AH *rhymes na Saw ٠ UUU *rhymes na Too ٠ R's zote zinafaa ku viringishwa
© Copyright 2011, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457
Rudi kwenye Ukurasa Mkuu wa Viwanja vya Kabbalistic/Magick
Rudi kwa Ukurasa wa Kielezo cha Sayari