CHAKRA YA *SOLAR YA TATU (MANIPURA)
MAHALI: Juu kidogo ya shimo ya tumbo{navel} karibu na *solar plexus
KIPENGELE: Moto
RANGI: Nyeupe-Dhahabu [Kipaji kama Jua]
IDADI YA PETALI: 10
SAYARI: Jua
JINSIA: Kiume
SIKU: Jumapili
CHUMA: Dhahabu
KAZI:
Chakra hii ni nguvu ya roho; *will, nguvu{power}, manipulation
HALI YA NDANI: Nia{Willpower}, muda{timing}. Chakra hii ni *Grail ya Lusifa
MWENZA WA KIKE NA CHAKRA YA JUA NI CHAKRA YA 6 CHAKRA AJNA, YENYE TEZI YA PINEAL
Chakra ya plexus ya jua ni chakra muhimu zaidi. Inajulikana katika Sanskrit kama "Manipura." Ni chakra ya *will, na muhimu zaidi, ni Grail ya Lusifa ambayo huhifadhi *elixir ya maisha, ile tezi ya *pineal inatoa. Hapa ndipo nguvu ya uponyaji ya nafsi hutoka. Inatawala juu ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, tumbo, kongosho, na misuli. Chakra ya *solar ina rangi ya dhahabu na inatawaliwa na Jua. Kipengele chake ni moto na chuma chake ni dhahabu. Hapa kuna chakra ambayo mtu hutumia ili ku *impress ones will wakati wa kufanya kazi ya uchawi. Chakra ya *solar ni nguvu{powerhouse} ya nafsi. Alama yake ni Swastika.
© Copyright 2013, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number:
12-16457
RUDI KWENYE UKURASA WA CHAKRAS
RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU