Faida za kutafakari sauti ni ufunguzi wa njia zaidi ndani ya ubongo. Sauti yoyote inaweza kutumika kwa kutafakari hii. Hii ni pamoja na aina yoyote ya muziki. Funga macho zako na upumzika. Fungua akili yako na ujaribu 'kuona' sauti. Sauti kawaida huja kwa mwendo na katika maumbo maalum, rangi na mawimbi. Uwezo wa kuona sauti unaitwa "synesthesia". “Synesthesia” ni neno la kimatibabu kwa sisi ambao tumezaliwa na uwezo wa kuona sauti na/au uzoefu wa hisi tofauti kwa wakati mmoja, kama vile kuskia rangi au kuonja/kunusa maumbo. Asilimia ndogo ya watu walizaliwa na synesthesia. Mara nyingi hupungua kwa umri na katika hali nyingi hutamkwa wakati wa utoto.
Uzoefu wa kuona sauti na kuvuka hisi ni kawaida kwa matumizi ya dawa za akili kama vile LSD, ingawa utumiaji wa dawa za kulevya huchochea upatanishi kupitia njia za bandia na hauwezi kudhibitiwa.
Kwa madawa ya kulevya, mtumiaji hana udhibiti, dawa ndio ikona udhibiti, na katika kujiwezesha na mazoezi ya uchawi, ni muhimu sana kwa daktari daima kudhibiti kupitia uwezo wake wa asili. Utegemezi wa vitu vyenye nguvu vinavyobadilisha akili huleta udhaifu wa tabia na pia hutengeneza mashimo kwenye aura na kudhoofika kwa mwili wa nyota. Sizungumzii matumizi ya bangi kwa burudani hapa, ninarejelea utegemezi wa kemikali zenye nguvu ili kufikia hali iliyobadilishwa kama vile mages wengine wamejulikana kufanya.
Watu wa Synesthetic mara nyingi huwa *psychic sana na wenye akili nyingi kulingana na masomo ya matibabu. CIA na wanasaikolojia wa Kijeshi wa Marekani waliripoti kupitia hatua za synesthesia wakati wa kufanya mazoezi ya kina ili kufungua akili zao kwa vita vya kiakili. Synesthesia inaweza kutokea kwa kutafakari kwako kwa sauti ya kwanza au kwa mazoezi. Funga macho yako na uangalie rangi, maumbo na mienendo ya sauti. Unapaswa kuandika haya katika Kitabu chako cha Vivuli/Kitabu/Jarida Nyeusi ikiwa ukona moja. Unapaswa kuweka kando mawazo na maono yote kama ungefanya kwa kutafakari *void na kujaribu "kuona" sauti au muziki. Baada ya muda, hisia zingine pia zitakuja kucheza- ina ladha gani? Kunuka aje? Uzoefu wa kawaida ni kuona sauti, lakini usiweke mapungufu yoyote kwako mwenyewe.
Synesthesia asilia hurahisisha{facilitates} *clairvoyyance, clairaudience na uwezo mwingine *psychic. Synesthesia inaweza kuwa tukio zuri sana na kipindi chenye kuthawabisha cha kutafakari. Kadiri njia nyingi tunavyofungua na kuziwezesha katika akili zetu, ndivyo uzoefu na uwezo zaidi tunavyoweza kuwa nao. Hatutumii tu "5-10%" ya akili zetu. Ili kukuza uwezo huu kikamilifu, mtu anapaswa kusikiliza aina mbalimbali za muziki na pia kila siku, kuchukua muda wa kusikiliza na "kuona" sauti katika mazingira yake. Kama kitu kingine chochote, kadiri tunavyotumia uwezo huu, ndivyo inavyokuwa na nguvu.
RUDI KWENYE UKURASA WA TAFAKARI YA NGUVU ZA KISHETANI
© Copyright 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457