Jua 666


Kabbalistic/Magick Square ya Jua kwa ajili ya kuwezesha chakras, kuimarisha Jua lililodhoofika{debilitated}, na kwa usaidizi wa afya na maendeleo ya jumla ya kiroho yanayohusiana na Jua.


Kabbalistic/Magick Square ya Jua kwa mafanikio ya kimwili, ustawi, na mambo ya kidunia [yasiyo ya kiroho{spiritual}]

Mantra ya Jua ni ya siku 36 mfululizo. Ni muhimu kamwe usiruke siku yoyote, kwani hii itaharibu{cancel} kazi nzima.

Anza mantra wakati Jua lina nguvu katika ishara yake ya nyumbani ya Leo, au wakati iko katika ishara yake iliyoinuliwa ya Aries. Nyakati hizi ni bora, lakini mantra inaweza kufanywa wakati Jua liko katika ishara zingine pia.

USIANZE mantra hii wakati Jua liko katika ishara za Aquarius [*detriment] au Mizani [anguko lake].

Anza mantra siku ya Jumapili, wakati wa saa za Jua.

Anza wakati wa mchana wakati Jua linaangaza, ikiwezekana.

Kwa hakika, kila siku, mantra iliyochaguliwa kwa ajili ya Jua inapaswa kusomwa wakati wa saa za Jua kwa siku hiyo. Hii ni bora, lakini bila kujali, usiwahi kuruka siku yoyote, atakama ni saa ngapi.

Utawala wa Kimila/Kichawi wa Jua:
Kujiamini, umaarufu{fame}, mafanikio katika kamari, raha, kupata umaarufu{popularity}/*charisma, kuongeza afya na uchangamfu, uponyaji, ulinzi, mafanikio, nguvu za kichawi na utajiri. Jua hutawala chakra ya tatu, na bila shaka Jua katika chati ya unajimu.

Sehemu za Mwili zinazotawaliwa na Jua: Moyo, mgongo, *diaphragm, arteries, mishipa na macho, afya na *vitality.

Magonjwa: *Low vitality, uchovu, magonjwa yote ya moyo, *arteries, shinikizo juu la damu/shinikizo la chini la damu, matatizo ya kuona, *jaundice, meningitis, shida zotea wa mgongo na uti wa mgongo, seizures. [Jua *debilitated/kudhoofika/kuteswa]

Taaluma: Uigizaji, kazi zote za ukumbi wa michezo, watu wenye vyeo vya mamlaka (wakubwa, wasimamizi, wakuu{noblemen}, wafalme{kings, emperors}), wale wanaofanya kazi na dhahabu, majaji, mahakimu, watu wanaosimamia kiasi kikubwa cha fedha, wakopeshaji fedha.

Jua ni ego yako, utu, kujistahi, uhai, uwezo wa uongozi, afya, umaarufu{fame} na heshima.

Jua linatawala: Baba yako, wanaume katika maisha yako, watoto wako, afya/uhai wako, *will yako, tamaa{ambition} yako, kujistahi kwako, na kujieleza, kujiamini kwako, na chakra yako ya tatu [ya jua]. Madini ya thamani, vitu vya thamani, dhahabu, watu wote wenye mamlaka{authority, power}, matajiri, serikali,

Katika chati yako ya unajimu: Nyumba ambayo Jua limewekwa, pamoja na nyumba ambazo zina alama ya Leo kwenye *cusp.

Mraba wa sayari ya Kabalistic/Kichawi huwezesha chakra ya tatu [solar] na kuimarisha Jua dhaifu/iliyodhoofika katika chati ya unajimu ya mtu na husaidia katika mambo yanayotawaliwa na nyumba/manyumba kwa ishara ya Leo kwenye *cusp/s na nyumba iliyo na jua.


*MANTRA YA JUA:

AUM HRAAM HRIM HRAUM SAU SURYAE NAMA:

Mtu anaweza badilisha NAMA na SVAHA ٠ [S-VAH-HAH]٠ wakati wa kufanya kazi kwa malengo ya kiroho


Matamshi:
AHH-UUU-MMM ٠ H-RR-AH – AH-MM ٠ H-RR-EE-MM ٠ H-RR-AH-UU-MM ٠ SAH-UUU ٠ SUUU-RR-YAH-YAY ٠ NAH-MAH

AH *rhymes Saw ٠ UUU *rhymes na Too ٠ R's zote zinafaa kuviringishwa  ٠ YAY *rhymes na Say

 

© Copyright 2011, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457


Back to Kabalistic/Magickal Squares Main Page

Back to Planetary Index Page


BACK TO SATANIC POWER MEDITATION MAIN PAGE