CHAKRA YA TAJI YA SABA, KITI YA *GODHEAD, [SAHASRARA] MARA ELFU{THOUSANDFOLD}
MAHALI: Juu ya kitchwa
KIPENGELE: Maji
RANGI: Urujuani
IDADI YA PETALI: elfu-petal ya lotus
SAYARI: Mshtarii
JINSIA: Kike
SIKU:
Alhamisi
CHUMA: Bati{Tin}
KAZI: Kuelimika
HALI YA NDANI: Furaha{Bliss}, *intuition, kuskia na mawasiliano ya psychic [pamoja na chakra ya 6]
Chakra ya Taji inajulikana kama "lotus elfu-petal." Lotus pia inajulikana kama lily. Lily = "Lilith." Kuongeza kwa kila Demu kua kiumbe hai, kila Demu ana ujumbe wake wa kiroho{spiritual}. Lilith anatawala Chakra ya Taji. Shetani anatawala Chakra ya Msingi. Chakras za Msingi na Taji ni wanandoa wa kiume na wa kike na zinafanya kazi pamoja.
Chakra ya taji inayojulikana kama Sahasrara katika Sanskrit iko juu ya kichwa, juu kabisa. Ina rangi ya urujuani, na inatawala ubongo, pituitari, na mfumo wa neva. Kwa mfano, ishara yake ni elfu-petal ya lotus. Ishara hii inarudi Misri ya Kale. Chakra ya saba inapowashwa kikamilifu na kufunguliwa, huleta hali ya furaha{bliss}. Mademu walinifahamisha inatawaliwa na kipengele cha maji. Chakra hii inatawala juu ya hisi zote za kiakili{psychic}, na ni muhimu kwa mawasiliano ya telepathic. Chakra hii, kinyume na mafundisho maarufu ina granthi ya tatu, ambayo mara nyingi ni ngumu zaidi kwa nyoka kuvunja. Chakra hii inapozuiwa, mara nyingi mtu hupata hisia{sensation} kama vile kutambaa, kwani nishati ya nyoka huzunguka chakra hii na sio kuipitia jinsi inavyopaswa.
© Copyright 2013, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number:
12-16457
RUDI KWENYE UKURASA WA CHAKRAS
RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU