Zuhura 1225


Mraba wa Kabbalistic/Uchawi Mraba wa Zuhura kwa ajili ya kuwezesha *chakras, kuimarisha Zuhura iliyodhoofika, na kwa usaidizi katika afya na maendeleo ya kiroho{spiritual} kwa ujumla kuhusiana na Zuhura.

Kabbalistic/Uchawi Mraba ya Zuhura kwa mafanikio ya kimwili, ustawi, na mambo ya kidunia [yasiyo ya kiroho{spiritual}].

Mantra ya Zuhura ni ya siku 49 mfululizo. Ni muhimu kamwe usiruke siku yoyote, kwani hii itaharibu kazi nzima.

Anza mantra wakati Venus ina nguvu katika ishara zake za nyumbani za Taurus au Libra, au wakati iko katika ishara yake *exalted ya Pisces.

USIANZE mantra hii wakati Zuhura iko katika ishara za Virgo [kuanguka kwake] au Nge au Aries [*detriment yake].

Anza mantra siku ya Ijumaa wakati wa masaa ya Venus.

Kwa hakika, kila siku, mantra iliyochaguliwa kwa Zuhura inapaswa kusomwa wakati wa saa za Zuhura kwa siku hiyo. Hii ni bora, lakini bila kujali kamwe usiruke siku yoyote, ata kama ni saa ngapi.

Utawala wa Kimila/Kichawi kwa Zuhura:
Pesa [chini ya Jua], vito, *ornaments, mavazi mazuri, na mapambo{decor}. Shughuli za kijamii, sanaa, urembo, anasa, raha{pleasure}, starehe, ngono wa upendo na mapenzi, kucheza{dancing}, kuimba, kuigiza, vipodozi{cosmetics}, kutengeneza nywele, vipodozi{cosmetology} na urembo{glamour}. Zuhura hutawala wanawake katika chati ya Mwanaume, pamoja na Mwezi.

Sehemu za Mwili zinazotawaliwa na Zuhura: Koo, tezi ya *thyriod, sauti, hisi ya kugusa, na figo. Pia nywele na ngozi katika maana ya vipodozi na uzuri.

Magonjwa: Uchafu wa damu ambao una sumu ya mfumo, tonsillitis, surua, ndui, ugonjwa wa figo, magonjwa ya *venereal.

Taaluma: Mabalozi wa amani, wasanii, wanamuziki na washairi, uigizaji, kazi za maigizo, wataalamu wa vipodozi, wabunifu wa nguo, waburudishaji, wapambaji wa mambo ya ndani, vito, wataalamu wa mimea na wabunifu na watunzi wa urembo.

Katika chati yako ya unajimu: Nyumba ya Zuhura imewekwa ndani, pamoja na nyumba zilizo na ishara za Taurus na Libra kwenye cusps.

Mraba wa sayari ya Kabalistic/Kichawi huwezesha *chakra ya moyo, huimarisha Zuhura iliyodhoofika/*debilitated katika chati ya unajimu ya mtu, na husaidia katika mambo yanayotawaliwa na nyumba na ishara za Taurus na Mizani kwenye *cusps na nyumba iliyo na Zuhura.


MANTRA YA ZUHURA:

AUM DRAAM DRIM DRAUM SAU SHUKRAYA NAMA
Unaweza badilisha NAMA na SVAHA ٠ [S-V-AH-HAH]٠ 
wakati wa kufanya kazi kwa malengo ya kiroho{spiritual}

Pronunciation:
AHH-UUU-MMM ٠ DD-RAH – AHMM ٠ DD-RR-EE-MM ٠ DD-RR-AHH-UUU-MM ٠ SAH-UUU ٠ SHH-UUU-KKK-RR-AH-YAH ٠ NAH-MAH
AH *rhymes na Saw ٠ UUU *rhymes na Too ٠ R's 
zote zinafaa ku viringishwa

 

© Copyright 2011, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457


Rudi kwenye Ukurasa Mkuu wa Viwanja vya Kabbalistic/Magick

Rudi kwa Ukurasa wa Kielezo cha Sayari


RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU ZA KISHETANI