Kutafkari ya Mabawa ya Nafsi
na
En Haradren Amlug


Hapa kuna tafakuri rahisi, lakini yenye ufanisi niliyokuja nayo ili kuwezesha na kuimarisha mbawa zako. Tafakari hii ilitoka kwangu, lakini ilipendekezwa kwangu na Anubis. Shetani na Enlil wamependekeza niiandike ili kushiriki.

1. Tuliza akili yako na uingie kwenye hali ya kutafakari.

2. *Visualize mbawa zako na uzihisi pamoja na nishati yako ikipita ndani yao.

3. Pumua ndani kwa hesabu unayostarehe nayo. Uki pumua ndani, shikilia mbawa zako chini *by your back, hii inapaswa kuwa nafasi yao ya kupumzika na isisababishe matatizo.

4. Shikilia pumzi yako na unapofanya hivi, piga mbawa zako polepole, ukizisogeza tu mbele na nyuma. Watu wampya wafanye hivi mara 3-5.

KUMBUKA – Unapoanza kufanya kazi kwenye mbawa zako, hazitakuwa na nguvu na kwa hivyo hazitasonga haraka. Ninapendekeza kuanza na takriban 3 kisha ufanyie kazi mara nyingi uwezavyo ukishikilia pumzi yako bila mkazo. Hupaswi kushikilia kwa zaidi ya hesabu 10 kwa watafakari wa hali ya juu, kwani si lazima kushikilia kwa muda mrefu.

5. Uki pumua nje, nyoosha mbawa zako juu na mbali nje uwezavyo na ushikilie hii masaa zote umeshikilia hewa. Mwishoni basi leta chini mabawa yako hadi ifike kwa nafasi ya kwanza ilikuwa kwa starehe.

Hii ni raundi moja. Raundi tano ni za kutosha kwa kikao kimoja. Ikiwa unahisi mkazo fulani, punguza *the round au *flaps. Haupaswi kujisukuma mwenyewe na kuzifanyia kazi kupita kiasi.

Unaweza kuhisi mvutano fulani kwenye misuli ya nyuma na baada ya kufanya hivi kwa muda, jisikie zikisonga nishati iko karibu nawe.

Shukrani kwa Anubis, Enlil na Shetani kwa mwongozo, usaidizi na maongozi ya kuandika na kuunda hili.

Picha 1

Picha 2

*Hail Satan!
*Hail Anubis!
*Hail Enlil!
Sifu Miungu wa Ukweli wa Kitambo!

-En Haradren Amlug