Nyota ya Astaroth/Kutafkari Mer Ka Ba
na
Azazel na Thoth


Keti kwa raha, ikiwezekana kuvuka miguu, lakini kukaa kwenye kiti ni sawa mradi mgongo wako umenyooka. Nenda katika hali ya *trance. Unapaswa kuchukua dakika chache safisha aura yako kabla ya kuanza zoezi hili. Kutafakari hufanywa kwa pumzi 18. Click Here kwa habari kuhusu tafakari hii.

TAFADHALI KUMBUKA: TAFAKARI HII IMESASISHA TAREHE 10/15/12. CHAKRA YENYE NGUVU ZAIDI NI CHAKRA YA 3 [SOLAR, 666, JUA], SIYO CHAKRA YA MOYO. ENEO LINAPASWA KUHAMISHWA KWENYE CHAKRA YA JUA, SIYO CHAKRA YA MOYO, KAMA ILIVYOKUWA KATIKA TAFAKARI YA ZAMANI KWA HATUA YA 14.

KWA TAARIFA ZAIDI KUHUSU HILI, TAFADHALI BONYEZA HAPA

Jionee mwenyewe ndani ya piramidi mbili. Tafakari ya kawaida hufanywa kwa nishati nyeupe-dhahabu ndani ya piramidi, lakini unaweza kubadilisha rangi kadiri unavyopata uzoefu zaidi na kujua jinsi ya kushughulikia nishati ya rangi. Nishati nyeupe-dhahabu ni nishati yenye nguvu zaidi.¹

 

1.
Kwa vidole gumba vyako vikigusa vidole vyako vya *index, pumua ndani hadi hesabu ya 6;

Shikilia kwa 6

Pumua nje kwa 6, and *chant kwa sauti ama kwa akili yako:
S-S-S-S-A-A-A-H-H-H-H; kwa kuvuta pumzi moja ndefu huku ukiibua piramidi zako zote mbili zikijaa mwanga unaong'aa wa dhahabu-nyeupe.

 

2.
Kwa vidole gumba vyako kugusa vidole vyako vya kati, pumua ndani hadi hesabu ya 6;

Shikilia kwa 6

Pumua nje kwa 6, and *chant kwa sauti ama kwa akili yako: T-T-T-T-A-A-A-H-H-H-H; kwa pumua nje mara moja kwa urefu. Endelea kujaza piramidi na nishati mkali na yenye nguvu.

 

3.
Kwa vidole gumba vyako vikigusa vidole vyako vya pete, pumua ndani hadi hesabu ya 6;

Shikilia kwa 6

Pumua nje kwa 6, and *chant kwa sauti ama kwa akili yako: N-N-N-N-A-A-A-H-H-H-H; kwa pumua nje mara moja kwa urefu. Endelea kujaza piramidi na nishati mkali na yenye nguvu.

 

4.
Kwa vidole gumba vyako vikigusa vidole vidogo, pumua ndani hadi hesabu ya 6;

Shikilia kwa 6

Pumua nje kwa 6, na kuzomea [sauti moja ndefu "S" uki pumua nje]:
S-S-S-S-S-S-S-S-S-S-S; kwa pumua nje mara moja kwa urefu. Endelea kujaza piramidi na nishati mkali na yenye nguvu.

 

5.
Tena, na vidole gumba vyako vikigusa vidole vyako vya *index, pumua ndani hadi hesabu ya 6;

Shikilia kwa 6

Pumua nje kwa 6, huku *visualizing piramidi zako zote mbili zikijaa mwanga unaong'aa wa dhahabu-nyeupe.

Hakuna haja ya ku *chant kwa hatua hii.

 

6.
Kwa vidole gumba vyako vikigusa vidole vyako vya kati, pumua ndani hadi hesabu ya 6;

Shikilia kwa 6

Pumua nje kwa 6, huku *visualizing piramidi zako zote mbili zikijaa mwanga unaong'aa wa dhahabu-nyeupe.

Hakuna haja ya ku *chant kwa hatua hii.

Kuanzia sasa na kuendelea, kwa kila pumzi wakati wote wa kutafakari, uta vuta ndani na kuibua taswira ya nishati inayoingia kupitia ncha zote mbili za mrija la kupumulia kwa wakati mmoja.
Mrija wa kupumulia huenea kwa urefu wa mkono mmoja [unaopimwa kwa urefu wa mkono wako mwenyewe] zaidi ya sehemu ya juu ya kichwa chako, kwenda chini kupitia chakra zako saba na kumalizia urefu wa mkono mmoja kupita chakra yako ya msingi iliyoko kwenye mwisho wa *tailbone yako. Unaposimama, inapanuka urefu wa mkono mmoja zaidi ya miguu yako.
Mrija wako ni mkubwa kuzunguka kama mduara unaotengenezwa unapogusa kidole gumba chako kwenye kidole chako cha kati na kugonga kwenye uwazi mdogo kila mwisho. Bomba ni wazi kama glasi.
Vielelezo vitatu vifuatavyo havina piramidi kwa uwazi. [Unapaswa kujiona ukiwa ndani ya piramidi wakati wote wa zoezi zima].

 

7.
Kwa vidole gumba vyako vikigusa pete na vidole vyako vidogo, index na katikati vikiwa *extended kama ilivyo kwenye mfano upande wa kushoto, vuta pumzi ndani na pumua kwa nishati hadi hesabu ya 6, kuibua mwanga unaong'aa wa dhahabu-nyeupe ikiingia kwenye mrija kutoka ncha zote mbili kwa wakati mmoja ili kukutana kati ya chakras zako za 2 na 3.

Shikilia kwa 6.
Mwanga huunda tufe lenye ukubwa wa *grape fruit.

Pumua nje kwa 6 na taswira duara kung'aa kwa nishati.

 

8.
Endelea kuweka vidole gumba vyako vikigusa pete na vidole vyako vidogo, index na katikati vikiwa *extended kama ilivyo kwenye mfano upande wa kushoto, vuta pumzi ndani na pumua kwa nishati hadi hesabu ya 6, taswira duara inayokua kwa ukubwa hadi ifike sehemu ya chini ya mbavu yako na sehemu ya juu ya mfupa wako wa *pubic.

Shikilia kwa 6.

Pumua nje kwa 6 na taswira duara kung'aa kwa nishati.

 

9.
Endelea kuweka vidole gumba vyako vikigusa pete na vidole vyako vidogo, index na katikati vikiwa *extended kama ilivyo kwenye mfano upande wa kushoto. vuta pumzi ndani na pumua kwa nishati hadi hesabu ya 6, Visualize the sphere brightening and growing in concentrated power.

Shikilia kwa 6, kuibua na kuhisi mwangaza, ukali na nguvu ya tufe.

Pumua nje kwa 6, *visualizing tufe ikizidi kung'aa na kung'aa, na kuwa na nguvu zaidi na zaidi.

 

10.
Weka mikono yako katika nafasi iliyoonyeshwa kwenye mchoro wa kushoto, inhale na upumue nishati ndani hadi hesabu ya 6. Tufe inafikia mkusanyiko wa juu, inawaka, kubadilisha rangi kwa moto wa nyeupe / bluu umeme na kugeuka kuwa mwanga mkali. dhahabu kama ile ya Jua.

*Round midomo yako *to blow.

Piga pumzi kwa hesabu ya sita. Unapopuliza, taswira duara likipanuka ili kuzunguka mwili wako wote. Tufe ndogo bado inabaki, na imejilimbikizia zaidi na kuangaza zaidi kuliko ile kubwa.
[Jionee mwenyewe kama unavuma tufe.]

 

11.
Weka mikono yako katika nafasi iliyoonyeshwa kwenye mchoro wa kushoto, inhale na upumue nishati ndani hadi hesabu ya 6. *Visualize na uhisi nishati inayoingia kwenye mirija yako ya kupumulia kwenye ncha zote mbili na kujikita katika duara ndogo na kupanuka hadi kwenye duara kubwa zaidi.

Shikilia kwa 6.

Exhale kwa 6 na kuibua nishati iliyokolea ikiendelea kupanuka hadi kwenye duara kubwa kuifanya iwe angavu na yenye nguvu zaidi.
Katika hatua hii, utaona zaidi tufe ndogo ikianza kusota. Inaweza kuzunguka kwa njia yoyote. *Visualize inazunguka na uende na mtiririko.

Hatua 12. na 13. ni sawa na hatua 11.
[Endelea *to spin tufe.]

 

14.
Kwa wanaume, weka kiganja chako cha kushoto juu ya kiganja chako cha kulia, vyote vikitazama juu. Kwa wanawake, weka kiganja chako cha kulia juu ya kushoto kwako, vyote vikitazama juu.

Mwanzoni mwa kuvuta pumzi yako, sogeza duara ndogo hadi chakra yako ya 3 [*SOLAR 666]. Vuta pumzi kwa hesabu ya sita. Kwa uzoefu, unaweza kuhamisha mpira kwa chakra yoyote unayopenda. [Ona kielelezo upande wa kulia.]

 

15. Vuta pumzi kwa hesabu ya sita na ujisemee akilini mwako "*EQUAL SPEED."

Piramidi 2 zitaanza kuzunguka pande tofauti. Piramidi ya juu itazunguka kinyume cha saa; piramidi ya chini itazunguka saa.

*Round midomo yako na kupuliza kama ulivyofanya hapo awali, kwa hesabu ya sita, ukizunguka na kuhisi msokoto wa piramidi zako zikienda pande tofauti. Watakuwa wanasonga kwa 1/4 kasi ya mwanga. Mzunguko unahisi kama mhemko wa *pulsing.

 

16. Vuta pumzi kwa hesabu ya sita na ujisemee akilini mwako "NUSU KASI YA MWANGA."

Zungusha midomo yako tena na pigo kwa hesabu ya sita, ukizunguka na kuhisi *spin wa piramidi zako katika pande tofauti. Watakuwa wanasonga kwa 1/2 kasi ya mwanga.

 

17. Vuta pumzi kwa hesabu ya sita na ujisemee akilini mwako "ROBO TATU YA KASI YA MWANGA."

*Round midomo yako tena na upulize.

Wanapokaribia 3/4 kasi ya mwanga, diski bapa iliyo chini ya *naval yako hutoka na kupanuka hadi umbali wa takriban futi 55 kwa kipenyo. Taswira hii kama Galaxy ya Sombrero kama inavyoonyeshwa kwenye mchoro ulio kulia.

Endelea kupiga kwa nguvu na uhisi kasi ya ongezeko la disk na *stabilize.

 

18. Vuta pumzi kwa hesabu ya sita na ujisemee akilini mwako "KASI YA MWANGA."

Tazama diski yako na piramidi zinazozunguka kwa kasi (kasi ya mwanga ni maili 186,000 kwa sekunde) hutoa mwanga mweupe mkali na nishati, hushikilia kwa sita na puliza nje kwa sita. Hii *stabilize diski.

Inashauriwa sana kubaki katika kutafakari, kutafakari juu ya nishati kwa dakika 5-15 baadaye, ukizingatia kuhisi *pulsating ya diski.

 

 

Mfano: Sema-Tawy-Tefnakht, Waziri wa Farao Psanatik I wa Nasaba XXVI; 664 hadi 610 BCE.

¹ Nishati nyeupe-dhahabu, ile ya jua ina nguvu sana. Kwa habari zaidi na usomaji wa kuvutia, kitabu: "Lost Secrets of the Sacred Ark, Amazing Revelations of the Incredible Power of Gold na Laurence Gardner. Iliyochapishwa London: Element, ©2003. [Hii ni dhahabu ya *astral, sio unga kama ilivyotajwa kwenye kitabu, lakini nguvu ni halisi.]

 

© Copyright 2005, 2012, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457