Kufungua Chakra Ya Sita


Jicho la tatu ni EXTENSION wa *chakra ya 6, ambayo ina patikana tu chini ya *chakra ya taji, katikati mwa ubongo.

Nimepata hii hivi majuzi kupitia uzoefu wangu mwenyewe katika kutafakari. Kila kitabu ambacho nimesoma [kingi] kinazingatia jicho la tatu, sio *chakra ya 6, ambayo iko tu nyuma ya jicho la tatu. Nimepata kupitia uzoefu wangu mwenyewe, *chakra ya 6 imefungana moja kwa moja kwenye tezi ya *pineal na kuiwasha. *Chakra ya sita inaonekana kuwa na nguvu zaidi kuliko jicho la tatu. Tezi ya *pineal hutoa *elixir ya maisha na inahusiana na kupata kutokufa kimwili. Pamoja na *chakra 666 ya *solar plexus [*Grail ya *Lucifer]; zote mbili hizi zikiwa *chakras zenye nguvu zaidi za nafsi.

1. Ili kufungua *chakra hii, tetema YAUM mara 16. Zingatia{focus} mtetemo katikati ya ubongo wako, nyuma tu ya jicho la tatu. Panua M-M-M-M-M hadi utoe pumzi kabisa.

Bofya Hapa kwa Sauti ya YAUM ya Mp3

2. Fanya hayo hapo juu mara 16 mfululizo kisha pumzika.

3. Sasa, panga *chakra yako ya sita kwa usahihi kwa kuibua sehemu yake ya mwisho ikitazama chini kama ilivyoonyeshwa hapo juu. Rangi ya *chakra ya sita ni bluish-violet.

4. Ni muhimu sana zoezi lililo hapo juu lifanyike kwa siku SABA mfululizo{consecutively}, ikiwezekana zikae na masaa 24 katikati zao.

*Chakra ya 6 ni *chakra ya furaha. Ukiwashwa, hakika utaisikia. Furaha kali isiyoelezeka. (tetemesha sauti mara moja kwa pumzi moja, kama vile "pumzi ya kuvuma{humming}" ya Yogic) na ujaribu kuelekeza mtetemo kwenye *chakra yako ya 6.
Inaweza kuchukua sekunde chache kurekebisha hii hadi pale unapoihisi kwenye *chakra yako ya 6, usijali, endelea tu. Jaribu kuufikisha kwenye mtetemo sahihi ambapo unaweza kuuhisi katikati ya ubongo wako. Hii inaweza kuchukua majaribio. Fanya tu uwezavyo. Unaweza kujaribu mara kumi hadi kumi na tano au zaidi ili uifanye sawa.


RUDI KUFUNGUA NAFSI

RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU

 

© Copyright 2009, 2018, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457