Ili kufungua *chakra ya msingi, weka mikono yako venye imeonyeshwa kwenye picha, kama ishara ya pembe. Vidole vyako vinapaswa kugusa na vidole gumba vinapaswa kugusana ubavu kwa ubavu hadi sehemu yenye nyama inayojulikana katika taaluma ya viganja{palmistry} kama "Mlima wa Zuhura." Mudra hili hutoa hisia ya joto kwenye mikono na huchochea{stimulates} *chakra ya msingi. Usijali ikiwa huwezi kuhisi hisia ya joto kwani hii inachukua usikivu.
*TAFADHALI KUMBUKA: NAFASI ZA MKONO NI HIARI NA SIO ZA LAZIMA. BAADHI YA MUDRAS HIZI HUENDA IKAWA NGUMU KWA WALE WANA MIKONO MIKUBWA. IKIWA HIVI NDIYO, WARUKE TU. SIO LAZIMA.
1. Weka kidevu chako kwenye kifua chako.
2.Pumua ndani na kujaza mapafu yako, na kwa kupumua nje, tetemesha LAUM. LLL-AH-AH-AH-UUUU-MMMM
Bofya Hapa Kupata Sauti Ya LAUM ya Mp3
3. Unapopumua pumzi nje jaribu kufikiria/kuhisi *chakra yako ya msingi kama moto sana na uione *visualize ya ukubwa wa *pea, ikifunguka na kupanuka hadi kwenye vortex. Zungusha vortex hii. Endelea *visualizing *chakra yako ikiwaka kuwa nyekundu/dhahabu na kupanuka na mweupe/dhahabu inaong'aa, wa ukubwa wa kipenyo cha sarafu ya dola ya fedha na uwazie hisia yake ikimea ikipozidi kung'aa.
Mtetemo wa LAUM unapaswa kufanywa mara saba.
Pangilia sehemu yako ya *chakra ya msingi ikitazama juu kama ulivyofanya na *chakra yako ya *scaral.
RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU
© Copyright 2005, 2007, 2016, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457