Tafadhali kumbuka: kuweka mkono yako hivi ni ngumu sana [mudra] isipokuwa uwe na mikono midogo sana. Venye mikono zimewekwa hazihitajiki na ni chaguo. Ruka tu nafasi ya mkono ikiwa hii ni ngumu kwako kwa njia yoyote. Mtetemo ndio ufunguo hapa na unapaswa umepumzika. Kujaribu kulazimisha mikono yako kwenye mudra ni kuvuruga{distraction}. Mudras inapaswa kuwa na ustarehe.
Ili kuamsha *chakra ya koo, kunja mikono yako pamoja kama kwenye picha, vidole gumba vikigusa kando- usikunja vidole gumba. **Msimamo huu wa mkono ni mgumu. Kwa wale walio na mikono kubwa zaidi, hii inaweza kurukwa. Ni bora kuwa na umetulia{relaxed} na sio kwa maumivu au usumbufu wowote wakati wa kufanya mazoezi haya. Vuta pumzi ndani; shikilia kama katika mazoezi mengine ya kufungua nafsi, na kisha utetemeke: "HAUM" hadi pumzi yako itakapotolewa kabisa. HHH-AH-AH-AH-UUU-MMM *H* INAPASWA KUWA KUZOMEWA YA KINA NDANI KATIKA KOO, KAMA PAKA, LAKINI KUZOMEWA KWA KINA. Jambo muhimu ni kujisikia kwa nguvu kwenye koo lako, juu ya shimo{the hollow}. Fanya hivi mara 5-7. Kumbuka- kupata sauti sahihi kunaweza kuchukua mazoezi. Wimbo unapaswa kutetemeka eneo la koo lako. Zoezi hili linaweza kufanywa mara moja kwa wiki au zaidi kama inahitajika. |
Bofya Hapa kwa Sauti ya HAUM ya Mp3
Sasa panga *chakra yako ya koo chini kama inavyoonyeshwa kushoto. |
RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU
© Copyright 2005, 2007, 2009, 2016, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457