Ukweli Kuhusu Maombi ya Kikristo


Nina hakika wengi wenu mmesikia habari za saa hii kuhusu kupatikana kwa Elizabeth Smart wa Utah, ambaye alitekwa{abducted} miezi kadhaa iliyopita. Familia ya Kikristo ilizungumza mara kwa mara kuhusu "Bwana," na kunukuu maandiko ya Biblia mbele ya waandishi wa habari, baada ya kurudi kwake.

Jambo ni kwamba kulikuwa na Wakristo wengi sana wakimuombea msichana huyo bila kukoma kwa miezi hii iliyopita. Hata wajinga wabaya zaidi, ambao kwa miezi wanaendelea kuomba "sala" ambayo ni sawa na nishati ya kiakili, kama sehemu ya kikundi kinachofanya hivyo, watafanikisha kitu. Kisha wanaendelea kumsifu "Bwana." Hawatambui wakati hio yote, ilikuwa juhudi zao wenyewe.

Shetani anatuonyesha jinsi tunavyoweza kupata kile tunachotaka kupitia power meditation. Hii haihusishi ibada ya utumwa ya mungu fulani, au kupatana na ajenda yoyote ya kuchukia wanadamu. Tunaweza kuwa miungu kwa haki yetu wenyewe, na tunaweza kuchukua udhibiti wa maisha yetu wenyewe.

Ilichukua miezi kadhaa ya "maombi" [kutumika nishati ya kiakili] kwa watu hawa kufikia malengo yao. Mara nyingi, maombi ya Kikristo ni bure na lakini ukifikiria wakati kuna makundi ya watu wanaotumia nishati ya akili zao kwa lengo maalum, kunaweza kuwa na mafanikio. Wajinga wanachukuliwa na aina hii ya kitu.


Back to Sermons Page

 

© Copyright 2002, 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457