Pumzi ya Moto [Kapalabhati]


1. Punguza misuli yako ya tumbo, kwa nguvu, ukitengeneza pumua nje, kwa kusukuma misuli yako ya tumbo ndani na nje, kwa bidii na kwa haraka, lakini kudhibitiwa. Hewa itaingia sehemu ya juu ya mapafu pekeyake. Tumia mikazo ya haraka ya misuli ya tumbo lako kuvuta pumzi ndani na kutoa pumzi kwa zoezi hili. Mikazo inapaswa kuwa ya rhythmic.

2. Fanya mazoezi mara chache, na uizoe.

3. Fanya 20 mfululizo, ndani na nje, kwa kutumia misuli ya tumbo kwa *succession kwa haraka, na mwisho wa pumzi ya 20, pumua nje, pumua ndani na kujaza mapafu yako, punguza mkundu wako, punguza kidevu chako kwenye kifua chako, shikilia pumzi yako kama mradi unaweza kwa raha- USIJISUKUMZE!

4. Pumua nje polepole.

Hapo juu ni mzunguko mmoja. Kuvuta pumzi kunapaswa kuwa kwa muda mfupi, na kuvuta pumzi kunapaswa kuwa *passive na iendele kwa mrefu. Mizunguko huongezeka kwa kuongeza idadi ya mapampu na misuli yako ya tumbo. Kwanza, jaribu kufanya seti tatu za pampu 20 na kisha baada ya muda, ongeza hadi 30, kisha 40 hadi ufanye 60.

Zoezi hili la kupumua hufanya nini:

1. Inaongeza kiasi cha oksijeni katika mwili

2. Inaongeza kiasi cha joto. *Alchemists katika nyakati za Gothic na zama za medieval walijulikana kama "puffers" na mvukuto karibu na mahali pa moto katika uchoraji wa alkemia ulikuwa ishara ya zoezi hili.

3. PUMZI HII NDIO MSINGI WA KUNDALINI YOGA

USIFANYE mazoezi haya ikiwa wewe ni mjamzito, una matatizo ya shinikizo la damu, *hernia au matatizo yoyote ya kimwili yanayohusisha tumbo lako.

Hapa kuna kiunga cha kipindi ya YouTube inayoonyesha jinsi ya kufanya zoezi hili la kupumua kwa usahihi.
TAFADHALI KUMBUKA* Video hii ya YouTube imeunganishwa hapa kwa muda mfupi tu [sekunde 17], onyesho rahisi kueleweka, na haina muunganisho wowote kwa njia yoyote ile na Wizara wa Furaha ya Shetani.

 

© Copyright 2009, 2013, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457


Rudi kwa Kupumua kwa Yogic

RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU ZA KISHETANI