Kuzungusha Vipengele


Tafakari hizi ni za juu sana. Maagizo yanapaswa kuwa wazi{obvious} bila kuingia katika maelezo yasiyo ya lazima.

Tafakari hizi ndizo zinazojulikana kama *alchemy/hermeticism. Inasafisha *chakras na kuchoma mihuri, nainaondoa takataka inayozuia maarifa na nguvu.


Hatua ya Kwanza - *Calcination -
Ku zungusha moto.

1. *Invoke kipengele cha moto ndani ya mwili wako wote

2. Finya{Condense} kipengele kwenye chakra yako ya msingi

3. Sambaza mpira wa moto kupitia kila chakra yako kama ilivyo tkwenye tafkari ya kuzungusha nishati.

4.Unapaswa kuhisi mpira mweupe-moto unaowaka ukipita kwenye kila chakra. Ikiwa haujisikii mara moja, fikiria. Hii itakuja kwa wakati.


Hatua ya Pili - Kunereka -
Ili kuzungusha kipengele cha maji baada ya 
kuzungusha kipengele cha  moto.

1. *Invoke maji

2. Finya{Condense} kwenye chakra yako ya pili na ufanye kama ilivyo hapo juu.

Hii itatoa mvuke unaowaka ambao itasafisha kwa kina chakras zako, kuchoma na kuyeyusha takataka.


Hatua ya Tatu - *Solution -
Ili kusafisha zaidi chakras na kusababisha vitu kutengana. Utenganisho ni *passive na utatokea kwa kawaida na unajulikana kama "kutengana."

1. *Invoke kipengele cha quintessence/etha.

2. Finyisha ndani ya jicho lako la tatu au chakra ya sita na uizungushe.


Hatua ya Nne - Kiunganishi{Conjunction} -

1.*Invoke kipengele cha ardhi na uipashe moto kwa kutumia kipengele cha moto

2. Finya nishati kwenye chakra yako ya msingi na uizungushe.


Hatua ya Tano - Putrification -
Kupakilia joto la unyevu kupitia *invokation la kipengele cha hewa.

1. Invoke cha kipengele cha hewa.

2. Finyisha kwenye chakra yako ya koo na kisha uizungushe.


Hatua ya Sita - Congelation -
*Invoke kipengele cha dunia.

1. *Invoke kipengele cha dunia.

2. Finyisha kwenye chakra yako ya msingi kisha uizungushe.


Hatua ya Saba - Cibation -
Kulisha{Nourishing}.

1. Tekeleza hatua ya kwanza na mbili hapo juu na kusanya na ufufinye kioevu kinachozalishwa kutoka kwa kila chakra kwenye chakra ya *sacral (ya pili) na uizungushe.


Hatua ya Nane - Sublimation -
Kupasha tena kutumia kipengele cha moto ili kuchoma zaidi uchafu.

1. *Invoke kipengele cha moto.

2. Ifinye kwenye chakra yako ya msingi.

3. Izungushe na *vaporze kila chakras zako nayo.

4. Mara tu ifuatayo, invoke kipengele cha ardhi.

5. Finyisha ndani ya chakra yako ya msingi na uizungushe, ukipozesha mvuke na kusababisha ufindishaji kuwa umbo gumu.


Hatua ya Tisa - Fermentation -
Hii inafanywa kwa kupumua ndani nishati ya dhahabu. Unaweza kupata matokeo bora kwa kufanya hivi moja kwa moja kutoka jua.

1. Pumua ndani nishati ya dhahabu

2. Findisha kwenye plexus chakra yako ya solar

3. *Circulate it.


Hatua ya Kumi - Exaltation -
Hii inafanywa kwa kuwasha moto kama kwa hatua ya kwanza, wakati huu tu, zingatia kufanya moto kuwa moto zaidi iwezekanavyo.


Hatua ya Kumi na Moja - Multiplication -
Hii inafanywa ili kukuza nishati na inafanywa kwa kutumia quintessence kama ilivyo kwa hatua ya tatu.


RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU ZA KISHETANI

 

© Copyright 2006, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457