Kuweka wakfu na Kuwezesha{empowering} Zana za Tambiko


Vyombo vya ibada vinapaswa kuwekwa wakfu kwa Jina la Shetani. Tena, tafadhali kumbuka, hii ni kwa watu wapya na wasio na uzoefu; kumfahamisha mtu na mambo ya msingi. Kwa watu wenye uzoefu na walioendelea, kuna kiungo hapa chini.

Ibada ya kuweka wakfu inapaswa kufanyika wakati wa mwezi mzima.

Ikiwa unawezesha athame, utahitaji sumaku.

Anza kwa kuweka vitu ili vibarikiwe juu ya madhabahu yako. Ikiwa una kitu ya kuchomea uvumba ambacho kinahitaji kubarikiwa, tumia chombo kingine kisichoshika moto ili kuchoma uvumba kwa ajili ya ibada hii.

Washa uvumba wako. Washa koni au vijiti kadhaa, kwasababu vitu vitapitishwa kupitia moshi wa uvumba itakuwa *consecracted. Uvumba *loose unayoweka kwenye makaa ni sawa, lakini labda utafaa kuendelea kuijaza tena na tena.

Washa mishumaa kadhaa nyeusi. Ikiwa nyeusi haipatikani, tumia Bluu ya kifalme.

Soma Sala ya Ufunguzi:
Kwa jina *Ineffable ya Shetani/Lucifer na mbele ya 
Wafalme{Princes} wa Taji: Beelzebub, Astaroth na Azazel, Nina karibisha nguvu za kizimu wakuje na wa *bestow baraka na nguvu zao juu ya zana hizi, ndio zi *serve as an extension and amplification of my will and desire, milele katika huduma ya Shetani.

*Visualize mwanga wa buluu wenye nguvu unaoanza kuelea juu yako. Jijaze na mwanga huu wa bluu; uki *invoke nguvu za Kuzimu.

Ya *Athame:
*Visualize mwanga wa buluu uliowekwa kwenye Athame. Chukua sumaku yako na uanze kupiga blade kutokea chini hadi ncha, kwa mwelekeo mmoja, pande zote mbili. *Visualize mwanga wa buluu unakua na nguvu zaidi, unapopiga *Athame. Hii inapaswa kufanyika kwa dakika tano.
Tazama mwanga wa buluu kwenye moshi wa uvumba na upitishe athame kupitia moshi, na usome yafuatayo.:
"Kwa Jina la Mwenyezi Shetani/*Lucifer, Ninabariki na kuweka wakfu chombo hiki cha hewa."

Kwa Chalice na vitu vyovyote vinavyotawaliwa na kipengele cha maji:
Tazama mwanga hio wa bluu. Ingiza na zungusha kikombe chako na mwanga. Pitisha kwa moshi wa uvumba
*Recite yafuatayo:
"Kwa Jina la Mwenyezi Shetani/*Lucifer, Ninabariki na kuweka wakfu chombo hiki cha maji."

*For the Thurible or incense burner:
burner inaweza ama kuwakilisha kipengele cha moto au kipengele cha hewa. Nenda na jinsi unavyohisi. Fanya ibada venye ulifanyia na kikombe, kwa kuipitisha kupitia moshi na kutazama mwanga wa bluu.
*Recite yafuatayo:
"Kwa Jina la Mwenyezi Shetani/*Lucifer, Ninabariki na kuweka wakfu chombo hiki cha moto."
Au:
Kwa Jina la Mwenyezi Shetani/*Lucifer, Ninabariki na kuweka wakfu chombo hiki cha Hewa."

Kwa Pentagrams, Baphomets na vitu vyovyote vya kipengele cha Dunia:
Fanya vivyo hivyo na taa iliyo hapo juu, ukipitisha kila kitu kupitia moshi.
*Recite yafuatayo:
"Kwa Jina la Mwenyezi Shetani/*Lucifer, Ninabariki na kuweka wakfu chombo hiki cha Ardhi."

Baada ya ku *concencrate zana zako, *recite Third Enochian Key.

Baada ya kumaliza, sema sala kwa maneno yako mwenyewe, ukitoa shukrani na *gratitude kwa Baba na nguvu za Kuzimu kwa ku *concencrate vyombo vyako.

Funga Tambiko.

Ave Satanas

Link for the Advanced Working


Rudi kwenye Tambiko za Kishetani

 

© Copyright 2002, 2005, 2013, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457