Kufungua Chakra za Bega


Kufungua *chakras za bega kutaunganisha zaidi nafsi na kufungua njia za nishati kwa *chakras ya mitende{palm}, kuziwezesha sana. Kwa kuongeza, *chakras za bega zina mabawa ya nafsi. Kwa taarifa zaidi, concerning the wings of the soul, please click here.
Kwa nyinyi ambao sio Washetani- MSIJISAHAU KAMWE- ELIMU HII IMETOKA KWENYE NGUVU ZA KUZIMU!! UJUZI HUU UNATOKA KWA SHETANI!!
Ili kufungua *chakras za bega lako:
1. waone kama kwenye kielezi kilicho upande wa kushoto.
2. Zingatia nuru nyeupe-dhahabu iki zi funika, pumua ndani, na uki pumua nje, tetemesha Z-Z-Z-Z-Z-Z-Z-Z, huku ukizingatia sauti ndani yao.
3. Fanya hivi mara tisa.
Hisia ya uchungu, au shinikizo ni ishara chanya kuwa umefanikiwa kuzifungua. Hisia hii inaweza kuenea kwenye mikono yako na inaweza kuhisi kama zina anza ku lala.

Sasa, panga *chakras zako:
1. Anza na *chakra ya msingi na ugeuze koni ili iangalie juu.
2. Fanya vivyo hivyo na *chakra ya *sacral.
3. Sasa zingatia kwenye plexus *chakra yako ya jua na uipangilie ielekeze chini.
4. Lenga umakini wako kwenye *chakra yako ya taji na uipangilie ielekeze chini.
5. Fanya vivyo hivyo na *chakras zako za sita na koo.
6. Sasa, zingatia *chakra ya moyo wako na *visualize nukta mbili zikija pamoja na kukatiza kama inavyoonyeshwa kwenye kielelezo hapa chini:

7. Maliza kwa kuzingatia tena *chakra za bega lako na uzione zikielekeza ndani.


RUDI KWA KUFUNGUA NAFSI

RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU

 

© Copyright 2007, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457