Kufungua nafsi yako kutafungua macho yako ya astral, kusikia kwako astral, kugusa kwako astral na hisia nyingine za astral, pamoja na kuwezesha nafsi yako. Kufungua nafsi kutakuongoza kuona ukweli na kupata *enlightenment. Kwa kuongeza, utagundua nguvu nyingi zinazoitwa "*supernatural" ndani yako wakati unawezesha *chakras zako. Wakati *chakras zimeunganishwa kwa usahihi na kutiwa nguvu, uponyaji wa maradhi ya mwili na kiakili mara nyingi yatatokea kimiujiza. Tafadhali kumbuka- baadhi ya mantras zimesasishwa. Mara tu unapomaliza mazoezi yaliyoorodheshwa hapa chini, unaweza kurudia wakati wowote, au mara nyingi upendavyo. Ni vyema kusubiri mwezi mmoja baada ya kukamilisha haya kwa mara ya kwanza ingawa, kwa kuwa madhara yanaweza kujidhihirisha sana siku au hata wiki baadaye.
Kwa habari zaidi juu ya chakras, TAFADHALI BOFYA HAPA
1. Kufungua Jicho la Tatu - Updated 28/August/2018
2. OKufungua Chakra ya 6 [Updated 28/August/2018]
3. Kufungua Chakra ya Taji - Updated 30/August/2018
4. Kufungua Chakra ya Koo - Updated 30/August/2018
5. Kufungua Chakra ya Nne/Katikati - Updated 30/August/2018
6. Kufungua Chakra ya Solar Plexus - Updated 1/September/2018
7. Kufungua Chakra ya Sacral - Updated 1/September/2018
8. Kufungua Chakra ya Msingi - Updated 1/September/2018
9. Kufungua Chakra 8 na 9 ya Mabega
10. Kufungua Chakra 10 na 11 za Hekalu
11. Kufungua Chakras za 12 na 13 za Nyonga{Hip}
12. Kufungua na Kuwezesha Chakras za Mkono
13. Kufungua Chakras za Miguu
14. Kufungua Chakra Ndogo
[ina mchoro]
Azazel ambaye ni Mwalimu wa Alchemy ya Kiroho alifanya kazi nami kwa undani juu ya kila moja ya tafakari hizi. Tafakari hizi ni zenye nguvu sana na mara nyingi, athari zinaweza kuhisiwa masaa kadhaa baadaye. Ni muhimu kufuata maagizo na ikiwa wewe ni mpya kwa kutafakari kwa nguvu, kwenda polepole. Ikiwa tayari umefanya tafakari za zamani, ni sawa kufanya haya. Watu wachache waliripoti athari kidogo au hakuna kabisa kutoka kwa tafakari za zamani ambazo zilichukuliwa kutoka kwa vitabu. Kwa kuongezea, kufikia Agosti 2018, watu wachache kabisa walisema katika vikundi vya kielektroniki kwamba hawakuwa wazi vya kutosha. Nimerekebisha ufunguzi wa *chakras kwa maneno yenye nguvu zaidi, na nimeongeza Mp3 ya sauti ili kusikia mtetemo sahihi kwa kila *chakra. Tafadhali jisikie huru kupakua Mp3 zozote kama ungependa kuziweka. Kwa sababu adui hangeweza kuharibu kabisa maarifa yote ya kiroho{spiritual}, mengi yamepotoshwa kimakusudi. Ujuzi wa kawaida wa *chakras kuu 7 ni mbovu. "Moyo" na marejeleo yote yake haipo kwenye kifua, lakini katika kichwa, sambamba na nadis.
Ni bora kufungua kila *chakra kama ilivyoorodheshwa na nambari zilizo hapo juu. Kutoka juu kwenda chini. Kuna idadi fulani ya marudio kwa kila zoezi. Iwapo utapata msisimko zaidi, inashauriwa umalize zoezi hilo na urudi nyuma. Zoezi linaweza kurejeshwa baadaye wakati unaupa mfumo wako wa neva wakati wa kuzoea nguvu ya maisha iliyoongezeka. Inashauriwa sana kujipa siku chache au zaidi kati ya kila zoezi.
Watu ambao wana matatizo ya kifafa{seziures, epilepsy}, au wanaotumia dawa za magonjwa ya akili hawapaswi kufanya mojawapo ya tafakari hizi za nguvu, isipokuwa kutafakari kwa utupu, isipokuwa kama wapewe sawa na daktari{physician} wao. Zina ufanisi mkubwa katika kufungua *chakras na kuchochea kundalini. Tafakari hizi mpya zimejazwa na nguvu za Kishetani. Wale ambao hawajajitolea au ni watu wa nje wanapaswa kuzingatia hili. Kwa Washetani waliojitolea, athari zinapaswa kuwa chanya sana katika kufungua na kuwezesha *chakras na katika kuongeza nguvu za kibinafsi. Tafakari hizi hutoa matokeo ya haraka sana. Tafakari za kawaida za kundalini za aina ya Enzi Mpya zinaweza kuchukua miaka kuwa na athari iliyotamkwa. Tafakari hizi, kama Ushetani ndio kitu halisi.
Kutafakari kwa utupu kunapendekezwa sana ili kudhibiti mawazo na akili ambayo itachochewa na ufunguzi wa *chakras.
Tafakari hufanywa kwa mitetemo maalum kwa kila *chakra. Kila mtetemo unatokana na Pumzi ya Humming ya Yogic. Kwa pumzi hii, unavuta ili kujaza mapafu yako na kwa exhale, unatetemeka chant hadi unapoishiwa na pumzi, kisha unapumua na kujaza mapafu yako kama hapo awali.
1. Pumua ndani kupitia pua yako, ukijaza mapafu zako
2. Pumua nje ukitetema kwa kila *chakra *evenly; mtetemo mmoja mrefu, hii itavuta pumzi nje
3. Pumua ndani tena na urudie.
Mudras [nafasi za mikono] hutumika kwasababu zinaunganisha mizunguko fulani ndani ya vidole na kuelekeza nguvu ya uhai kwenye *chakra inayofunguliwa. Baadhi ya haya ni magumu, hasa ikiwa mikono yako ni kubwa. Mudras hua zinasaidia, lakini sio lazima. Ikiwa unaona mojawapo ya nafasi hizi za mikono kuwa ngumu, ziache tu. Ni muhimu sana kuwa naustarehe na ukuwe upumzika.
Unapaswa kuzingatia *chakras katikati ya mwili wako. *Extensions viko kando ya mgongo na mbele ya mwili. Kila mtu huja kwa Shetani kwa viwango tofauti. Wale kati yetu ambao waliwezesha nafsi zetu katika maisha ya zamani watakuwa nyeti zaidi kwa tafakari. Hii ni ya kuzaliwa, lakini mtu yeyote anayefanya mazoezi yafuatayo hatimaye atafungua *chakras zao.
* Kutokea Azazel
© Copyright 2005, 2007, 2016, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457