Opening the Feet Chakras


Zoezi hili linafanyika kwa kusimama. Tulia na "pumua" nishati ndani kupitia sehemu ya chini ya miguu yako, haswa visigino vyako. *Chakra za miguu zime unganishwa{tied} *chakra ya msingi na *chakra ya sacral. Hii inaweza kusababisha kuchochea viungo vyako vya ngono na vile vile miguu ime unganishwa na orgasm.

Endelea kuvuta nishati kupitia miguu yako hadi kwenye *chakra yako ya msingi na juu ya mgongo wako na nje ya taji yako. Endelea kupumua nishati kwa dakika chache.


*Chakra za miguu ni muhimu sana kwa kuweza kuvuta ndani nishati. Kuchora huku kwa nishati ni muhimu kwa kujiponya, kuponya wengine na uchawi.


RUDI KUFUNGUA NAFSI

RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU

 

© Copyright 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457