Kufungua Chakra Ndogo


Ili kufungua *chakras ndogo, ni muhimu kuwa tayari ume shaa fungua chakra kubwa na uwe na mtiririko wa nishati mahali unapoweza kuhisi.

Bofya hapa chini kwa kiungo cha michoro ya *chakras. Ili kufungua *chakras zako ndogo, elekeza tu na uzingatie nishati zako ndani yake na uziwazie zikiwaka na nishati. Kwa kweli, unapaswa kuwa na uwezo kuzihisi.

Mchoro wa *Chakras

 

© Copyright 2009, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457