Tafadhali kumbuka: Nafasi za mikono sio lazima na ni chaguo. Ruka tu nafasi ya mkono ikiwa hii ni ngumu kwako kwa njia yoyote. Mtetemo ndio ufunguo hapa na ina faa kufanywa ukiwa ume upumzika. Kujaribu kulazimisha mikono yako kwenye *mudra ni kuvuruga{distraction}. *Mudras inapaswa kuwa kwa starehe.
1. Kaa katika nafasi nzuri na mgongo ikiwa *straight.
2. Pumzika na uende katika hali ya kutafakari.
3. Weka mikono yako kwenye *mudra la jua lililoonyeshwa upande wa kushoto. [Hatua hii ni ya hiari]
4. Inhale kikamilifu na kuacha kidevu chako kwenye kifua chako. Weka kidevu chako kwa upole, lakini uishinikizwa kwa nguvu{firmly} dhidi ya kifua chako wakati wote wa kuvuta pumzi, ukiinua kichwa chako tu wakati wa kuvuta pumzi.
5. Tetemesha "RAUM"
R-R-R-R-AH-AH-AH-AH-AH-U-U-U-U-M-M-M-M hadi uishiwe na pumzi, ukizingatia *chakra yako ya plexus ya jua. Rekebisha mtetemo wa wimbo ili uweze kuuhisi kwenye *solar plexus *chakra yako. USI *ROLL R HAPA 6. Rudia mara 5 7. Sasa, panga sehemu yako ya *chakra ya jua *visualizing it chini kama inavyoonyeshwa kushoto, kwa kuiona. Rangi ya *chakra ya jua ni dhahabu mkali. |
Bofya Hapa kwa Sauti ya RAUM ya Mp3
RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU
© Copyright 2005, 2007, 2016, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457