Uponyaji ya Kishetani kwa Kutumia Chakra ya Solar Plexus


Chakra ya uponyaji ni chakra ya jua [3].

Kuponya kwa kutumia chakra hii [ambayo ni nzuri sana]:

1. Lala kwa mgongo yako

2. Chakra zako za mkono na vidole zina faa kufunguliwa kabisa kwa mbinu hii. Weka vidole vyako kidogo kwenye *solar plexus chakra yako. Taratibu sana pumua ndani na *visualize mwanga mwingi unaong'aa wa dhahabu-nyeupe ikiingia kwenye pua zako ukishuka hadi kwenye solar plexus chakra yako na kisha kupitia ncha za vidole vyako na kwenye mikono yako ya mbele.

3. Shikilia pumzi yako na uhamishe vidole vyako kwenye eneo lililoathiriwa na polepole pumua nje nishati kutoka kwa mikono yako, mikono na vidole kwenye eneo lililoathiriwa. Kwa mfano, katika kutibu kidonda cha koo, sogeza vidole vyako, [wakati wote huo ukitazama mwanga unaong'aa], kwenye koo lako na polepole pumua nje hio nishati kwenye koo lako, *visualizing na kuihisi ikiacha mikono{forearms} yako, mikono na ncha za vidole na kuingia. kwenye koo lako, unawaka kama jua kali.

4. Wakati kupumua nje imekamilika, sitisha kupumua kwako kwa sekunde chache huku ukiweka vidole vyako kwenye chakra yako ya jua tena. Rudia yaliyo hapo juu.

Ya juu ni bora kufanywa kwa marudio 10-20. Ikiwa uponyaji mkubwa unahitajika, pumzika na kisha ufanye marudio mengine 10-20.


Nimetumia mbinu hiyo hapo juu kwa mafanikio mengi. Ni muhimu sana kujaribu kukamata homa, mafua, virusi, nk, katika hatua za mwanzo. Kwa kufanya hivyo, nishati kidogo inahitajika ili kutibu tatizo.

Ikiwa mtu ni mgonjwa ambapo kutumia nishati yake mwenyewe ni nje ya swali, zoezi hili linaweza pia kufanywa kwa kutumia nishati kutoka kwa Jua, ambayo ina nguvu sana. Pumua tu nishati kutoka kwa jua kwenye pua yako na ufuate maagizo hapo juu.

Ni dhahiri kwamba sasa na katika siku za usoni, tutakabiliwa na aina hatari za virusi na tauni. Wengi ni sugu kwa antibiotics na dawa zingine. Katika maeneo mengi, dawa za kuokoa maisha zinakuwa haziwezi kununuliwa na ni vigumu sana kupata, kama ilivyo kwa huduma nzuri za matibabu. Dawa zingine zimeunganishwa na *placebo [matupu]. Wanashetani wote waliojitolea wanapaswa kuwa wanafanya mazoezi ya Kutafkari kwa Nguvu na kujufundisha Mbinu za Uponyaji ya Kishetani.

Nimefanikiwa sana na mbinu zilizo hapo juu na zingine za uponyaji ambazo nimeandika juu ya wavuti hii. Nguvu ya kuponya ni zawadi ya ajabu kutoka kwa Shetani. Mwanashetani yeyote aliyejitolea kwakufanya kutafakari mara kwa mara anaweza kufanya hivi. Mambo yanazidi kuwa mabaya sana duniani na yatazidi kuwa mabaya zaidi. Wale kati yetu ambao ni *adept na wanaotumia maarifa ya Kishetani watanusurika nyakati hizi tukiwa mzima.



Rudi kwenye Ukurasa Mkuu wa Uponyaji wa Shetani

RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU ZA KISHETANI

RUDI KWENYE UKURASA KUU WA UCHAWI WA KISHETANI

 

© Copyright 2008, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457