"Kutafakari *void" ni kile kinachojulikana kama "kutuliza akili." Faida za kutafakari *void ni uwezo wa kuzima mawazo na ushawishi usiohitajika venye unahisi, kuwa na uwezo wa kudhibiti mawazo yako badala ya mawazo yako kukutawala (kama vile mtu wa kawaida), na hisia ya amani ya ndani. Kutafakari *void ni muhimu kwa mtu yeyote anayefanya kutafakari kwa nguvu, na ni muhimu kwa mafanikio katika mazoezi ya hali ya juu ya uchawi. Kutafakari kwa nguvu kunabadilisha nguvu ya mawazo yetu na ni muhimu sana kuwa na uwezo wa kudhibiti mawazo na kuzima au kuzizingatia venye unataka. Nguvu ya mawazo, inayojulikana pia kama 'nguvu ya mchawi' inahitajika kwa ajili ya mafanikio katika matambiko na katika kutumia akili yako kupata kile unachotaka. Kutafakari kwa nguvu huimarisha mawazo yetu, na watu wanaofahamu zaidi au nyeti wataweza kuchukua mawazo na hisia zetu kupitia *telepathically. Tafakari tupu itafundisha akili yako kukaa kimya ili wengine wasijue unachofikiria. *Ninja wa Kijapani hutumia mbinu hii ili kuepuka kutambuliwa wakati wa kutekeleza misheni muhimu ambayo inahitaji mtu kuendeleza au kujipenyeza, bila kutambuliwa. Kutafakari *void hufundisha akili yako ili uweze kuzingatia wakati wa matambiko na katika maisha ya kila siku ili akili yako ikuletee kile unachotamani.
Kuna mbinu kadhaa za kutafakari kwa *void. Lengo ni kuzima mawazo yako yote na kuzingatia hapa na sasa. Unapata akili yako kuwa tulivu kabisa kwa urefu maalum wa muda. Mwanzoni, hii inaweza kuwa ngumu sana, kwani mawazo yatakuja kichwani mwako kila wakati. Kabla ya kujua, utafikiria tena juu ya kitu. Usikasirike kwani hii ni kawaida sana na hata kwa wataalamu wa hali ya juu, vipindi fulani vya kutafakari vinaweza visiende vizuri kama kawaida. Endelea tu kurudisha akili yako kwenye umakini. Uvumilivu{Patience} na persistence ndio funguo hapa. Inasaidia sana kufanya mazoezi ya kupumua mapema ili *induce hali ya *trance. Baadhi ya watu wanaona kutafakari baada ya mlo mzito husababisha akili kukengeushwa kwa urahisi.
Jaribu kila wakati kutafakari ukiwa ume aamka kabisa. Ikiwa utajaribu kufanya kutafakari kwa *void wakati umechoka, kuna uwezekano kwamba utalala haraka.
1. Mazoezi ya kupumua ni ya hiari. Hii ni njia rahisi ya kupumua ambayo itasababisha hali ya maono:
Rudia hii mara kadhaa hadi uhisi utulivu.
* Shikilia tu mradi unajisikia ukiwa kwa starehe. Ikiwa kushikilia kwa hesabu ya sita haina starehe, basi shikilia kwa hesabu ya 4, au hata 2. Hakikisha tu kuwa unafananaisha hesabu zako. Kamwe ushikilie kwa muda mrefu kuliko inavyostarehesha. Mazoezi ya kupumua hayapaswi kamwe kusukumwa, kwani kwa kufanya hivyo, yanaweza kusababisha uharibifu wa mfumo wa neva.
2. Sasa, fanya akili yako yote kuwa tulivu kabisa na bila mawazo yoyote kwa muda maalum bila mawazo au muziki kichwani mwako. Akili yako inapaswa kuwa tupu kabisa. Unapaswa kuzingatia kuwa hapa na sasa. Kama ni mara yako ya kwanza, dakika tano ni sawa. *Intermediate na wazoefu{advanced} wanaweza kwenda popote kutoka kwa dakika 15 hadi muda wowote wanaohisi ni muhimu.
Kutafakari kwa *void kunaweza kufanywa kwa macho yako wazi au kufungwa. Wakati macho yako yamefunguliwa, utaona zaidi ya uwezekano wa kuona *mist karibu na vitu unapotulia katika hali ya maono. Hii ni kawaida. Ikiwa unachagua kufunga macho yako, unaweza kushikwa na usingizi, lakini hii ni chaguo la mtu binafsi na kutumia njia yoyote inayofaa zaidi.
KWA KUTAFAKARI UKIWA NA MACHO YAKO WAZI:
Chagua kitu kidogo cha kuzingatia. Hii inaweza kuwa nukta ukutani, mkono wa pili kwenye saa, au hata kipande cha pamba kwenye nguo yako. Wengi huchagua kutafakari na moto wa mshumaa. Jambo kuu ni kuzingatia kitu unachochagua
KWA KUTAFAKARI UKIFUNGA MACHO:
Kuzingatia ndani yako mwenyewe na kupumzika. Unaweza kujiweka ndani zaidi na zaidi katika *trance na hisia ya kuanguka. Hii ni kawaida. Kwa watu ambao ni wapya, hisia hii ya kuanguka ambayo mara nyingi huambatana na maono ya kina inaweza kukufanya uhisi kizunguzungu. Ili kusimamisha hisia, zingatia sehemu ya mbele ya mwili wako.
TAFAKARI *VOID YA KILA SIKU:
Kutafakari void kunaweza kufanywa mahali popote na wakati wowote tu uzingatie hapa na sasa na kuzingatia kabisa kwa chochote unachofanya. Njia hii ni bora zaidi kwa wale ambao hawawezi kupata faragha yoyote. Weka tu lengo la kuzingatia hapa na sasa kwa muda maalum kila siku na utafaidika.
TAFAKARI YA *VOID YA JUU:
Tafakari ya hali ya juu inayojumuisha kuongeza nafasi za mwili hufunza akili yako na kukuza *iron will, na nguvu nyingi zaidi za ndani.
1. Weka mwili wako wote tuli. USISOGEZE. Hivi ndivyo wahudumu wa yogi wa hali ya juu hufanya.
Ingia katika nafasi nzuri. Usijikune mwasho wowote, wapuuze tu na ukae makini. Maumivu ya misuli yanaweza kuja na kwenda. Kupuuza uchovu wowote wa kimwili au uchovu wa akili. Endelea tu kubaki umakini.
2. Ongeza nafasi zisizostarehe na/au zisizofaa. Hakikisha hizi zimechukuliwa kutoka kwa kitabu cha Yoga au Tai Chi, ili ziwe na manufaa kimwili. Hii ni taaluma ambayo inafundishwa katika shule nyingi za Sanaa ya Vita ambapo mtu hujifunza kupuuza maumivu, huku akizingatia sana. Hii huimarisha akili kwa mapambano ya kimwili na huongeza sana hali yako ya kujiamini. Hii pia itaongeza upinzani wako kwa maumivu.
Mabwana wengi wa sanaa ya kijeshi hutafakari chini ya maporomoko ya maji baridi, kwenye theluji au hali zingine zenye uchungu. Afya ya kimwili ya mtu lazima ijengwe hapa, kwa sababu za wazi. Oga baridi inaweza kubadilishwa. Kama ilivyo kwa kitu chochote kipya, hakikisha unaanza navitu vidogo kwanza.
Mbinu hizi, zikieleweka, zitampa mtu udhibiti kamili wa akili na hisia zake. Ikiwa mtu atakabiliwa na kifo, mtu hataganda au kuogopa kwa hofu na uwezekano wa kuendelea kuishi utaongezeka sana.
3. Kukimbia na kutafakari; kuzingatia hatua zako za kukimbia, huongeza uvumilivu kiakili na kimwili.
TAFAKARI *VOID YA NGUVU:
Hii ni njia bora ya kujiwezesha wakati unafanya kutafakari kwa *VOID. Hii ni ya hali ya juu na lazima uwe na hisia ya nishati na uweze kuivuta ndani kama ilivyo kwa Energy Meditation. Hapa hauoni nishati, unapumua tu ndani na nje, nyonya nishati uki vuta pumzi ndani naupanue *aura yako uki pumua nje. Uzingatie kabisa *hisia.* unapaswa kuwa *adept wa kupumua kwa nishati kabla ya kujumuisha njia hii katika kutafakari kwako *void.
© Copyright 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457
RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU ZA KISHETANI