Sithali


1. Inua ulimi wako kama kwenye mfano hapa chini:

2. Pumua ndani kupitia ulimi wako, ulimi wako ikikaa kama imejikunja

3. Funga mdomo wako na ushikilie pumzi yako kwa hesabu ya 5-10 [yoyote ambayo ina starehe].

4. Kisha, pumua nje polepole kupitia pua yako

Hapo juu ni mzunguko mmoja.

______________________________________

Sithali ya Nyuma kutoka kwa Azazeli

1. pumua ndani kupitia pua yako.

2. Ukiwa umefunga mdomo wako, shikilia pumzi yako kwa hesabu ya 5-10 [ikiwa ni sawa, unaweza kushikilia kulingana na venye uki hisi hivio].

3. Kunja ulimi wako kama kwenye mfano hapo juu.

4. Kisha, pumua nje kupitia mdomo wako na ulimi wako ikiae imekunjuwa

Hapo juu ni mzunguko mmoja.

 

© Copyright 2009, 2013, 2018, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457


Rudi kwa Kupumua kwa Yogic

RUDI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU ZA KISHETANI