Mawasiliano Telepathic ya Kishetani


Baba Shetani alinionyesha mbinu hii.

Kufungua mawasiliano ya telepathic kati ya watu wawili:

1. Fungua jiho lako la tatu (unapaswa kuwa tayari umefanya ufunguzi wa zoezi la msingi wa jicho la tatu).
Ili kufungua jicho lako la tatu, ona mwanga mkali wa ukubwa wa shillingi la robo moja, unang'aa kama jua. Hii itawasha{activate} jicho lako la tatu.

2. Taswira ya uso wa mtu ambaye ungependa kuwasiliana naye na ufungue jicho lao la tatu kwa kuliona liking'aa, sawa na ulivyofanya na lako mwenyewe. Katika baadhi ya matukio, wale ambao hawajafungua jicho la tatu wanaweza kupokea ujumbe wako, lakini kwa matokeo bora, watu wote wawili wanapaswa kuwa wazi kabisa.

3. Panua nyoka wa jicho lako la tatu.
Ili kurefusha jicho la nyoka la tatu, taswira kiendelezi chembamba chenye mithili ya mirija{tube} kikitoka kwenye jicho lako la tatu.

4. Unganisha nyoka wako kwa jicho la tatu la yule unayetaka kuwasiliana naye, ukiangaza macho ya tatu na nishati pamoja na bomba.

Mawasiliano ya telepathic inapaswa kuanzishwa. Ongea kama ungefanya katika kuwasiliana na Mashetani. Mtu mwingine anapaswa kukusikia na kujibu. Hii si ya wanaoanza. Unapaswa kuwa tayari kuwa na uzoefu wa kuwasiliana na Mashetani na kuweza kutambua ujumbe halisi na mawasiliano kutoka kwa udanganyifu wa *astral.

 

© Copyright 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457

RU DI KWENYE UKURASA KUU WA TAFAKARI YA NGUVU