Clairaudience


Clairaudience ina manisha kusikia kiakili{psychic}. Kwa kuongezeka kwa unyeti hutokana na mpango thabiti wa kutafakari kwa nguvu, mtu anaweza kufungua akili yake ili kusikia sauti kwenye *astral. Katika hatua za mwanzo za kufungua akili, sauti za astral zinaweza kusikika ndani ya kichwa; sawa na mawazo. Wakati mtu anaendelea, sauti zinaweza kusikika nje ya kichwa na zina nguvu zaidi. Clairaudience kawaida huanza na kusikia sauti za astral ndani ya akili ya mtu.

Hapo mwanzo, angalau kwa uzoefu wangu mwenyewe, mambo niliyosikia nje ya kichwa changu yalikuwa ya upuuzi na hayakuwa na thamani. Haya yalitokea nilipofungua chakra yangu ya taji. Kama kila kitu kingine, clairaudience inachukua muda, kutafakari kufungua masikio ya akili na chakras kuu ili kufikia mwelekeo huu wa sauti ya *astral.

Wakati mtu anasonga mbele, muziki wa angani{celestial} itaweza kusikika. Hii ni nzuri zaidi. Baba Shetani alimtembelea mwanamuziki Giuseppe Tartini katika ndoto. Alimsikia Baba akicheza muziki mzuri zaidi wa fidla, “mzuri usioelezeka.” Aliamka na kuandika kile alichoweza kukumbuka, lakini hakuweza kuiga uzuri wa muziki huo. Aliita kipande hicho “The Devil’s Trill.”

Frequencies zote za nishati zina sauti zao wenyewe. Ulimwengu wote unaendeshwa kwa mtetemo. Moja ya uzoefu wa kuvutia zaidi katika clairaudience ni kusikia sauti za cosmos.

Kadiri mtu anavyokuwa wazi kiakili, ndivyo uwezekano wa yeye kukutana na sauti tofauti. Chochote kutoka kwa kengele hadi kulia{ringing}, *buzzing (huu ndio umeme wa kibaolojia; in kwa Misiri wa kale, nyuki ilikuwa mdudu mtakatifu. Nguo{headdress} ya nyuma ya Tutankhamen (jeneza) ina mwiba wa nyuki uliowekwa kwa dhahabu), sauti za filimbi{flute}, mngurumo wa bahari na wengine. Sauti fulani zinaweza kuudhi, lakini dalili hizi zitatoweka kadiri mfumo wa mtu unavyozoea kiwango cha juu cha nguvu ya maisha.

Masikio Saba yanahusiana na chakras saba. Kwa kuzingatia ufahamu wa watu juu yao wakati wa kutafakari na kuzifungua, uwezo wa clairaudience utadhihirika. Ili kuzifungua, tazama nyota inayofunguka kwa kila moja na kuangaza vizuri. Baada ya hayo, ongeza kipaji na kipenyo. Kufungua pointi hizi za nishati itawezesha akili za mtu kuskiza *astral and na kurekebisha  njia zimezuia ya nishati ya kuponyesha kuendelea. Hii inaweza saaidia watu wakona shida ya kuona, kuskia, ku umwa na kitchwa na shida zingine. Kutafakari kwa jicho la kiakili na sehemu za sikio ni nguvu sana kwa kupokea ujumbe kutoka kwa *astral.

Kumbuka, ikiwa utawahi kusikia chochote usichopenda, *tune it out and shut it off.

Related Links:

*Satanic Power Meditation

MKutafakari Sauti za Chakra na Azazel

OKufungua na Kuzingatie pointi ya Clairaudience Points

Kutafkiri Sauti


*Back to Information Concerning the Mind

 

© Copyright 2005, Joy of Satan Ministries;
Library of Congress Number: 12-16457